Hakuna procurement yoyote serikali ya Tanzania imewahi kufanya toka dunia imekuwepo yenye value zaidi ya trillion 1.5 kwa mkupuo! Kwa mara ya kwanza serikali ililipa downpayement ya billion 688 juzi kwenye Nyerere Dam Project
Hivi anaijua T 1.5 au anaisikia tu huyo bwege πππHiyo trillion 1.5 imeibiwaje sasa? Sababu njia za kuiba pesa ya serikali kwa muda mfupi hivyo common ni kupitia procurements au mikataba ya kiuwekezaji, sasa ni procurements zipi serikali ilifanya ika over declared amount sahihi ambayo hiyo trillion 1.5 ikapatikana? Show me how!
Huwezi kuiba pesa yote hiyo ya serikali kwa kipindi cha miezi 6 (muda ambao CAG anafinyia auditing accounts za serikali) kwa muda mfupi hivyo tofauti na nilivyooleza unless hiyo ni nchi ya ulimwengu wa kwanza, zito kitu gani mwehu tu yule anawakokota zero brain wenzake.Mnavyojitoa ufahamu, wapi imesemwa mliiba zote kwa procurement moja, mfuate Zitto aliwahi kutabainisha shlingi kwa shilingi jinsi mliziiba mkamkimbia.
πππππ Yaani kuna watu mabwege halafu wanamuaminiHivi anaijua T 1.5 au anaisikia tu huyo bwege πππ
ππππππππ Yaani kuna watu mabwege halafu wanamuamini
Juzi kawaongezea zaidi, kawaambia zimeibiwa trillion 3! πππππππ
ππππ Anawaambia matrilioni yanaibiwa ila serikali ikisema imejenga kitu au kununua kitu kwa pesa zake na kitu chenyewe kinaweza kuwa hakizidi billion 200, wanatahamaki na kusema serikali haina hiyo pesa TRA imefilisika, huo ni mkopo πππππππππ
Hawa jamaa wana uwezo mdogo wa kufikiri πππππππ Anawaambia matrilioni yanaibiwa ila serikali ikisema imejenga kitu au kununua kitu kwa pesa zake na kitu chenyewe kinaweza kuwa hakizidi billion 200, wanatahamaki na kusema serikali haina hiyo pesa TRA imefilisika, huo ni mkopo ππππππ
Hapo ndio unajua hawa wehu
Huwezi kuiba pesa yote hiyo ya serikali kwa kipindi cha miezi 6 (muda ambao CAG anafinyia auditing accounts za serikali) kwa muda mfupi hivyo tofauti na nilivyooleza unless hiyo ni nchi ya ulimwengu wa kwanza, zito kitu gani mwehu tu yule anawakokota zero brain wenzake.
You mean ulinichukulia that serious my brother? Nilikuwa natania tu, usiwe kilaza. Are you a toddler?πππππ Sarcastic yenye ukweli mchungu ni straight forward fact
huyo mtanzania atakaekua anakuja kwenye nchi kama hii πππ
Atakua na matatizo ya akili
Unajua wazambia nao awachambi kama nyinyi ni kujipangusa tu na kuvaa nguo sijui mnajisikiaje comfortable kutembae na kinyesi siku nzima,?wazambia wazee wa lungu wanajielwa sana...sijui jama wa ze koroshow! wamefikia wapiii..πππ
Monkey kwanini mnaitwa banana ripabiliki ?Ng'eng'e za nini? Umetoka maternity kuzalisha mkeo? Naona ulirauka mapema sana.
aibuu sana hiii, jiwe mzee wa kiki tu!RUFIJI: Wanafunzi 320 wanasomea chini ya Mti na kujisaidia porini
Shule ya Msingi King'ongo inakabiliwa na changamoto nyingi lakini kubwa zaidi ni ile ya wanafunzi wake 320 kati ya 444 kusomea chini ya miti na kukaa chini huku wanafunzi 124 pekee ndio ambao wanasomea darasani tena ni wale ambao wana Mitihani ya Taifa. Shule hii ipo katika Kata ya Muhoro...www.jamiiforums.com
Hivi wakenya nani kawaroga utawaona wadada na wakaka wa kikenya pale Uhuru park wamepiga suti !!!!!! Kumbe !!! Wanaishi kwenye mazizi ya mavii...Nanyi mnabaki mkibugia kinyesi na chai ya rangi
Ingilishii mingii kumbeHujawahi ninukuu, Leo umeninukuu Mara nyingi hadi raha. Kuna nini Bw.mdogo? Hujasafisha NYOTA?
Anyway, don't worry about me drinkin' changπ‘@.Drinking is an emotional thing. It joggles you out of the standardism of everyday life, out of everything being the same. It yanks you out of your body and your mind
Hakuna asiyemjua Zitto kuwa mbwatukaji ama mropokaji.Huwa mnamuita mwehu, majina ya kila aina ikiwemo hata kumzushia uraia lakini huwa hachoki anawaumbua tu
Hakuna asiyemjua Zitto kuwa mbwatukaji ama mropokaji.
Wenye akili timamu hawamfuatilii kaa ukilijua hilo.
Maana kila anachoongeaga kinakuwa na zero evidence na watu wana flash km wana flash kimba chooni.
Dooooooh yashakuwa hayoo!!!Inategemea ni watu wagani anaambia, na wana uwezo gani wa kudadavua anachokisema, jamaa ana kipaji kizuri sana, analysis zake huwa thorough, sema walengwa ni nyie ambao hata kusoma paragraph moja ya andiko lolote huwa mtihani.
Dooooooh yashakuwa hayoo!!!
KAKA ANGU HUMJUI ZITTO KAMA IPASAVYO.
ZITTO MROPOKAJI SANA NA HUWA HANAGA STRONG EVIDENCE NA AONGEAYO.
MWISHOWE WATU HUYATUPILIA DAMPO MANENO YAKE.
MUACHE ABWATE AKICHOKA ATAACHA.