MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Hakuna procurement yoyote serikali ya Tanzania imewahi kufanya toka dunia imekuwepo yenye value zaidi ya trillion 1.5 kwa mkupuo! Kwa mara ya kwanza serikali ililipa downpayement ya billion 688 juzi kwenye Nyerere Dam Project
Mnavyojitoa ufahamu, wapi imesemwa mliiba zote kwa procurement moja, mfuate Zitto aliwahi kutabainisha shlingi kwa shilingi jinsi mliziiba mkamkimbia.