Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
JK aliitwa dhaifu hadharani akakileta chuma. Huyu mama kafanya mambo makubwa ila wapuuzi hawawezi elewa. Ni rais pekee ambaye kaendeleza miradi iliyoanzishwa na Rais aliyepita. Ilishazoeleka kila Rais na mipango yake.Umhimu wa mtu huja baada ya mtu kuondoka
nakumbuka kipindi Cha jpm watu walimmiss sana kikwete
Cha ajabu leo wame mmiss sana jpm
usishangae kesho wakimsifia na kummiss sana Samia
Binadu ndivyo tulivyo hasa wale tusio taka kuji shughulisha na tunao amini katika bule
Sema humtaki sio hatumtaki.Tunawapa wazambia huyu mama kwa mkopo. HATUMTAKI. Enyi wazambia, jambo usililijua ni kama usiku wa giza.
Tunawapa na mwigulu kama nyongezaTunawapa wazambia huyu mama kwa mkopo. HATUMTAKI. Enyi wazambia, jambo usililijua ni kama usiku wa giza.
Yule jamaa hela yao thamani imepanda maradufu kuliko shilingi yetuNdio maisha yalivyo, Kila aliyepo kwake anaona kwa mwenzake kuna nafuu.
Akawapigishe kodi na tozoTunawapa na mwigulu kama nyongeza
polepole abaki,akili zake bado hazijatumika.Tutawaongeza na msigwa na Humphrey polepole kabisa
Na ni aibu tupu, wangejua ufisadi wa nchi hiiHawana akili hao.Hawajui tumeshindwa mwendokasi treni ya umeme tutaweza?
JK aliitwa dhaifu hadharani akakileta chuma. Huyu mama kafanya mambo makubwa ila wapuuzi hawawezi elewa. Ni rais pekee ambaye kaendeleza miradi iliyoanzishwa na Rais aliyepita. Ilishazoeleka kila Rais na mipango yake.
Kama hata kujua tu kuwa thamani ya hela ya Zambia imeshuka ina maana wewe huna kikubwa unachokijua zaidi ya stori za vijiweni.Yule jamaa hela yao thamani imepanda maradufu kuliko shilingi yetu
UWT hii mada siyo size ako nakushauri ukae pembeni mkuuKama hata kujua tu kuwa thamani ya hela ya Zambia imeshuka ina maana wewe huna kikubwa unachokijua zaidi ya stori za vijiweni.
Ni kweli siwezi shiriki stori za vijiweni zisizo na facts.UWT hii mada siyo size ako nakushauri ukae pembeni mkuu
UWT huwa hamtumii akili hata kidogoNi kweli siwezi shiriki stori za vijiweni zisizo na facts.
Umuhimu wa mtu huja baada ya mtu kuondoka
Nakumbuka kipindi Cha JPM watu walimmiss sana Kikwete
Cha ajabu leo wame mmiss sana jpm
Usishangae kesho wakimsifia na kummiss sana Samia
Binadu ndivyo tulivyo hasa wale tusio taka kuji shughulisha na tunao amini katika bule