Wazambia wawatupia lawama viongozi wao kushindwa kufanya mambo makubwa kama Tanzania

Wazambia wawatupia lawama viongozi wao kushindwa kufanya mambo makubwa kama Tanzania

Umuhimu wa mtu huja baada ya mtu kuondoka

Nakumbuka kipindi Cha JPM watu walimmiss sana Kikwete

Cha ajabu leo wame mmiss sana jpm

Usishangae kesho wakimsifia na kummiss sana Samia

Binadu ndivyo tulivyo hasa wale tusio taka kuji shughulisha na tunao amini katika bule
 
Umhimu wa mtu huja baada ya mtu kuondoka

nakumbuka kipindi Cha jpm watu walimmiss sana kikwete

Cha ajabu leo wame mmiss sana jpm

usishangae kesho wakimsifia na kummiss sana Samia

Binadu ndivyo tulivyo hasa wale tusio taka kuji shughulisha na tunao amini katika bule
JK aliitwa dhaifu hadharani akakileta chuma. Huyu mama kafanya mambo makubwa ila wapuuzi hawawezi elewa. Ni rais pekee ambaye kaendeleza miradi iliyoanzishwa na Rais aliyepita. Ilishazoeleka kila Rais na mipango yake.
 
unaweza kuweka mifano hai ya miradi iliyoanzishwa na raisi aliyepita ambayo haikuendelezwa na raisi aliyefuata ?
 
CCM wakipunguza ufisadi na ulafi wanaoufanya kwa 50%, na kuweka uzalendo mbele.
Ndani ya miaka 5 tutaweza kuwa Dunia ya 2 kiuchumi.
 
Huwez ipima kazi ya mikono yako kwa kujilinganisha ja watu unaowazid nguvu kazi, raslimali na ukomavu, wewe utakua Mbumbu-Mzungu-Wareli-Kiberiti-Ngoma-Kitakwaka.

Hii ni kumaanisha unakua kwa kwenda chini, huu ndio ujinga unajaribu kuutetea.
 
Hao wameamua kusifia kwa mapenzi yao.

Sisi tunaponda kwa mapenzi yetu.
 
Umuhimu wa mtu huja baada ya mtu kuondoka

Nakumbuka kipindi Cha JPM watu walimmiss sana Kikwete

Cha ajabu leo wame mmiss sana jpm

Usishangae kesho wakimsifia na kummiss sana Samia

Binadu ndivyo tulivyo hasa wale tusio taka kuji shughulisha na tunao amini katika bule

Hiyo sentensi ya mwisho ni yakijinga sana.

Kwa hiyo wanaokosoa viongozi hawana cha kujishughurisha? Wanapenda vya bure.
Mkuu kama unaamini hivi basi kunashida mahali.

Kila kiongozi( in fact kila binadamu) lazima akosolewe.
Na kwenye mazuri atasifiwa pia.
 
Aisee kuna jamaa hapo anasema Tz imebarikiwa viongozi imara na makini.

Aisee kwa hayo maoni ya hao jamaa, habari zinazotoka nje ya Tz zinakua zimehaririwa kama za hapa kwetu tu.
 
Back
Top Bottom