Wazambia wawatupia lawama viongozi wao kushindwa kufanya mambo makubwa kama Tanzania

Aisee kuna jamaa hapo anasema Tz imebarikiwa viongozi imara na makini.

Aisee kwa hayo maoni ya hao jamaa, habari zinazotoka nje ya Tz zinakua zimehaririwa kama za hapa kwetu tu.
Anasema kweli
 
Ona huyu nyumbu mwingine.
Haya si alishafanya marehemu!?
Kisa koment za hao wazambia wachache ndio useme serikali ya Samia inafanya la maana!?
Nahisi hao wazambia wangekuja na kukaa huku hata mwezi wangeona UPUUZI unaoendelea chini ya hili serikali.
 
Zunguka uone
 
Zambia wanabahar?
 
Ona huyu nyumbu mwingine.
Haya si alishafanya marehemu!?
Kisa koment za hao wazambia wachache ndio useme serikali ya Samia inafanya la maana!?
Nahisi hao wazambia wangekuja na kukaa huku hata mwezi wangeona UPUUZI unaoendelea chini ya hili serikali.
Umeungua Wapi?
 
Weka na screenshot za kwenye handle za Samia kwenye mitandao ya kijamii tujionee maoni ya watu.
 
Mama yupo kazini ... Najua wakipita pale Daraja la kijazi ubungo au tanzanite moyoni wanaikubali CCM .. kwani mama anatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi .
Mitano tena kwa mama..
 
Zambia ni Nchi maskini haiwezi kulingana na Tanzania.

Ukiinga kunya kwa tembo utapasuia msamba ambao matokeo yake ndio hayo Madeni Wameshindwa kulipa wanagombana huku njaa inazidi kuwapa utapiamlo.
 
Unalinganisha rasimali zilizopo Zambia na TZ?upunguani huu
 
Need i say mo?
Watanzania wanawalaumu viongozi wao kwa kutamani uwazi wa viongozi wa Kenya.

Wakenya wanawalaumu viongozi wao kwa kukithiri rushwa na kutamani uongozi wa Tanzania.

Wazambia wanatamani SGR ya Tanzania na uongozi wao.

Watanzania wanasema Wazambia hawana msalia mtume wakipandishiwa bei ya unga tu wanaandamana, watatamani ujasiri wao.

Kila mtu anatamani cha mwenzake na haoni uzuri wa alicho nacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…