Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Anasema kweliAisee kuna jamaa hapo anasema Tz imebarikiwa viongozi imara na makini.
Aisee kwa hayo maoni ya hao jamaa, habari zinazotoka nje ya Tz zinakua zimehaririwa kama za hapa kwetu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasema kweliAisee kuna jamaa hapo anasema Tz imebarikiwa viongozi imara na makini.
Aisee kwa hayo maoni ya hao jamaa, habari zinazotoka nje ya Tz zinakua zimehaririwa kama za hapa kwetu tu.
Ona huyu nyumbu mwingine.Wakati genge la Ufipa likikazana kupotosha umma kuhusu uongozi thabiti wa Mama Samia Hassan, majirani zetu Zambia wameguswa sana na uongozi wa Mama kiasi kwamba wameshindwa kuvumilia na kuamua kuwatupia lawama viongozi wao.
Hii imetokea baada ya mtandao maarufu nchini Zambia uitwao Kalemba kuripoti kuanza kwa safari za treni za umeme Dar - Moro na Dar - Dom. Nimekuwekea link hapa ukajisomee hiyo habari na maoni ya majirani zetu.
![]()
Kalemba
PHOTO NEWS: Ready to be unwrapped.Tanzania enters a new age of high-speed rail as service from Dar es Salaam to Morogoro starts Friday, cutting travel time from 4hours to 1hr40 minutes. The new...www.facebook.com
View attachment 3033894
View attachment 3033895
View attachment 3033896
View attachment 3033897
View attachment 3033898
Kwa mtazamo wake na wakoAnasema kweli
Ndio na wako piaKwa mtazamo wake na wako
Zunguka uoneOna huyu nyumbu mwingine.
Haya si alishafanya marehemu!?
Kisa koment za hao wazambia wachache ndio useme serikali ya Samia inafanya la maana!?
Nahisi hao wazambia wangekuja na kukaa huku hata mwezi wangeona UPUUZI unaoendelea chini ya hili serikali.
Zambia wanabahar?Wakati genge la Ufipa likikazana kupotosha umma kuhusu uongozi thabiti wa Mama Samia Hassan, majirani zetu Zambia wameguswa sana na uongozi wa Mama kiasi kwamba wameshindwa kuvumilia na kuamua kuwatupia lawama viongozi wao.
Hii imetokea baada ya mtandao maarufu nchini Zambia uitwao Kalemba kuripoti kuanza kwa safari za treni za umeme Dar - Moro na Dar - Dom. Nimekuwekea link hapa ukajisomee hiyo habari na maoni ya majirani zetu.
![]()
Kalemba
PHOTO NEWS: Ready to be unwrapped.Tanzania enters a new age of high-speed rail as service from Dar es Salaam to Morogoro starts Friday, cutting travel time from 4hours to 1hr40 minutes. The new...www.facebook.com
View attachment 3033894
View attachment 3033895
View attachment 3033896
View attachment 3033897
View attachment 3033898
Wangu hauko hivyo.Ndio na wako pia
Umeungua Wapi?Ona huyu nyumbu mwingine.
Haya si alishafanya marehemu!?
Kisa koment za hao wazambia wachache ndio useme serikali ya Samia inafanya la maana!?
Nahisi hao wazambia wangekuja na kukaa huku hata mwezi wangeona UPUUZI unaoendelea chini ya hili serikali.
Onyesha tuoneWangu hauko hivyo.
Wewe unasema tumebarikiwa, tofauti ya kubarikiwa ni kutobarikiwa na nipo hapo.Onyesha tuone.
Zambia ni Nchi maskini haiwezi kulingana na Tanzania.Wakati genge la Ufipa likikazana kupotosha umma kuhusu uongozi thabiti wa Mama Samia Hassan, majirani zetu Zambia wameguswa sana na uongozi wa Mama kiasi kwamba wameshindwa kuvumilia na kuamua kuwatupia lawama viongozi wao.
Hii imetokea baada ya mtandao maarufu nchini Zambia uitwao Kalemba kuripoti kuanza kwa safari za treni za umeme Dar - Moro na Dar - Dom. Nimekuwekea link hapa ukajisomee hiyo habari na maoni ya majirani zetu.
![]()
Kalemba
PHOTO NEWS: Ready to be unwrapped.Tanzania enters a new age of high-speed rail as service from Dar es Salaam to Morogoro starts Friday, cutting travel time from 4hours to 1hr40 minutes. The new...www.facebook.com
View attachment 3033894
View attachment 3033895
View attachment 3033896
View attachment 3033897
View attachment 3033898
Need i say mo?The grass is always greener on the other side.
Hela yao haijapanda, ila pesa yetu ndiyo imeshuka.Yule jamaa hela yao thamani imepanda maradufu kuliko shilingi yetu
Maanake kuna sehemu tumefeliHela yao haijapanda, ila pesa yetu ndiyo imeshuka.
Mwambie mamako awekeWeka na screenshot za kwenye handle za Samia kwenye mitandao ya kijamii tujionee maoni ya watu.
Watanzania wanawalaumu viongozi wao kwa kutamani uwazi wa viongozi wa Kenya.Need i say mo?