Wazamiaji wa Kiafrika nchini Ukraine wakiwa hawajui la kufanya wala jinsi ya kuondoka

Wazamiaji wa Kiafrika nchini Ukraine wakiwa hawajui la kufanya wala jinsi ya kuondoka

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Unofficial African in ukraine, treated badly

FB_IMG_16470796783353773.jpg


FB_IMG_16470796710000307.jpg


FB_IMG_16470796620857267.jpg
 
Acha kutulisha kasa wewe...


The arrival of more than 800 undocumented Africans in Melilla this week after the biggest mass attempt to reach the city for years has reinforced Spain’s status as a main entry point to Europe for migrants from the south.
 
No way to escape, wajiunge na jeshi la ukraine kuitwanga russia, vita vikiisha watapewa uraia wa kudumu na kutambuliwa kama raia halali wa ukraine
 
Watanzania walioko Ukraine wametuangusha sana badala ya kujiunga na Jeshi la Ukraine wao wakawa wanalialia tu kurudi nchini

Wangejiunga Jeshi la Ukraine ilipotangaza kuwa raia yeyote wa nje ruksa kujiunga na Jeshi baada ya vita wangepewa uraia na ajira .

Wamechezea fursa adimu mno kiswahili wamechezea shilingi chooni
 
Mwafrica ananyanyaswa na Mzungu, Muarabu, Mhindi, Mchina nk....lakini yeye wote hao wanakuja nchi mwake anawakenulia meno na kuwapa kila kitu...
 
Mwafrica ananyanyaswa na Mzungu, Muarabu, Mhindi, Mchina nk....lakini yeye wote hao wanakuja nchi mwake anawakenulia meno na kuwapa kila kitu...

Hakuna binadamu asiyependa kusaidiwa

Ukraine alitoa offer
Raia wa nje yeyote mwenye mapenzi na Ukraine ajiunge jeshi.Watanzania huko Ukraine waka turn down hiyo offer ambayo future yao ingekuwa bright baada ya vita

Wamewaangusha wazazi na watanzania na future zao

Anyway wameamua kurudi sawa tu
 
Hii habari ya uongo hizi story ni wazamiaji wa Africa wanaokwenda ulaya kupigia libya
 
Back
Top Bottom