Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwe ya uongo au kweli na meseji ingekuwaje watanzania kuona Ukraine kuko vizuri wakati wa amani lakini kwenye vita hao watanzania walioko Ukraine hawasimami bega kwa bega na Ukraine kwenye vita?Hii habari ya uongo hizi story ni wazamiaji wa Africa wanaokwenda ulaya kupigia libya
Asante[emoji4][emoji109]Acha kutulisha kasa wewe...
![]()
Hundreds of migrants scale border fence to reach Spanish territory
More than 800 African migrants reach city of Melilla over two dayswww.irishtimes.com
The arrival of more than 800 undocumented Africans in Melilla this week after the biggest mass attempt to reach the city for years has reinforced Spain’s status as a main entry point to Europe for migrants from the south.
Hao watanzania waliokuwa Ukraine walikwambia kama wanahitaji uraia wa Ukraine?Hakuna binadamu asiyependa kusaidiwa
Ukraine alitoa offer
Raia wa nje yeyote mwenye mapenzi na Ukraine ajiunge jeshi.Watanzania huko Ukraine waka turn down hiyo offer ambayo future yao ingekuwa bright baada ya vita
Wamewaangusha wazazi na watanzania na future zao
Anyway wameamua kurudi sawa tu