Wazamiaji wa Kiafrika nchini Ukraine wakiwa hawajui la kufanya wala jinsi ya kuondoka

Wazamiaji wa Kiafrika nchini Ukraine wakiwa hawajui la kufanya wala jinsi ya kuondoka

Hii habari ya uongo hizi story ni wazamiaji wa Africa wanaokwenda ulaya kupigia libya
Iwe ya uongo au kweli na meseji ingekuwaje watanzania kuona Ukraine kuko vizuri wakati wa amani lakini kwenye vita hao watanzania walioko Ukraine hawasimami bega kwa bega na Ukraine kwenye vita?

Siongelei msimamo wa nchi unaongelea msimamo wa hao watanzania ambao waliona Ukraine kuzuri iwe masomo whatever ikabidi wawe na wa Ukraine

Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki.Walikimbia mfano kusoma kule sababu waliamini maisha yataenda kupata elimu bora

Sasa Ukraine wako kwenye shida wanakimbia kurudi nyumbani Tanzania sijapenda hiyo tabia
Walitakuwa kuwa kidete na Ukraine
 
Unaskia rahaaaaa mwenyewe kutudanganya watu wazima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna binadamu asiyependa kusaidiwa

Ukraine alitoa offer
Raia wa nje yeyote mwenye mapenzi na Ukraine ajiunge jeshi.Watanzania huko Ukraine waka turn down hiyo offer ambayo future yao ingekuwa bright baada ya vita

Wamewaangusha wazazi na watanzania na future zao

Anyway wameamua kurudi sawa tu
Hao watanzania waliokuwa Ukraine walikwambia kama wanahitaji uraia wa Ukraine?
 
Back
Top Bottom