Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wajiunge jeshi la Ukraine wamekaa tu kama mabwegeHahah! Duh! Mungu awasaidie
Honestly huwezi kuvamia Russia Ata ukraine very racist na wapo serious especially Russia Hao watakuwa wanafunziUnofficial African in ukraine, treated badly
View attachment 2147824
View attachment 2147828
View attachment 2147829
Hizo picha sidhani za ukraine kuna snow sana Mbona kama RwandaMbona wachafu wachafu hivyo?
Sio ukraine hapoWajiunge jeshi la Ukraine wamekaa tu kama mabwege
Mwafrica ananyanyaswa na Mzungu, Muarabu, Mhindi, Mchina nk....lakini yeye wote hao wanakuja nchi mwake anawakenulia meno na kuwapa kila kitu...