Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
"Haiwezekani nchi mbili kuungana halafu tukaendelea kuwa na nchi mbili" hii ndio source ya hili igizo tulilonalo linaloitwa Muungano.Zanzibar ipo lkn Tanganyika ilikufa siku ya muungano. Kwahiyo kuna watanzania na wazanzibari lkn hakuna watanganyika..
Hii ni serikali ya muungano, sio serikali ya Tanganyika, hivyo basi yeyote kutoka pande yeyote ya muungano ,anaweza kuwa waziriHabari wanajamvi,
Wiki hzi tatu au mwezi huu tumekuwa na mijadala mingi hasa inayohusu uteuzi na teuzi mbalimbali...
Kabisa mkuu. Hiki ni kiini-macho siyo muungano."Haiwezekani nchi mbili kuungana halafu tukaendelea kuwa na nchi mbili" hii ndio source ya hili igizo tulilonalo linaloitwa Muungano.
Kasome vizuri mambo ambayo ni ya muungano na mambo yasiyo ya muungano.Hii ni serikali ya muungano, sio serikali ya Tanganyika, hivyo basi yeyote kutoka pande yeyote ya muungano ,anaweza kuwa waziri
Wizara ya Fedha na Mipango.Kama zipi??
Nndo maana siye wengine tunataka serikali tatu ili tufufuwe Tanganyika yetu ilokufa kifo cha ghafla miaka ile ya 60Zanzibar ipo lkn Tanganyika ilikufa siku ya muungano. Kwahiyo kuna watanzania na wazanzibari lkn hakuna watanganyika..
Kwahiyo ni ruksa kwa mzanzibari kushika nafasi yoyote ile.
Tatizo muungano wetu umekaa kigoloko Sana. Haiwezekani nchi 2 zikaungana halafu kukaendelea kuwa na nchi 2.
Ok ni serikali ya muungano, mbona hatuendi kuwa mawaziri au makatibu wa wizara mbalimbali Zanzibar?Hii ni serikali ya muungano, sio serikali ya Tanganyika, hivyo basi yeyote kutoka pande yeyote ya muungano ,anaweza kuwa waziri
siyo sahihi kwa mzanzibari kuongoza taasisi ambazo si za kimuungano. shida sisi watz tunaburuzwa kutokana na hili likatiba feki. kama hatutadai kwa nguvu zetu zote kupata katiba nzuri basi tutaendelea kuburuzwa na wazanzibari mpaka kitapokuja kizazi kingine ambacho kitajitambua lkn kwa katiba hii hatuwezi kutoboa.Zanzibar ipo lkn Tanganyika ilikufa siku ya muungano. Kwahiyo kuna watanzania na wazanzibari lkn hakuna watanganyika..
Kwahiyo ni ruksa kwa mzanzibari kushika nafasi yoyote ile.
Tatizo muungano wetu umekaa kigoloko Sana. Haiwezekani nchi 2 zikaungana halafu kukaendelea kuwa na nchi 2.