Nguvu gani unaongelea mkuu? Kama unamaanisha kupiga kelele mitandaoni na kwenye mikutano ya siasa ama vijiwe vya kahawa sahau kupata katiba mpya..kama hatutadai kwa nguvu zetu zote
Katiba huwa inadaiwa kwa vita/mapigano tu. Nje ya hapo tutasubiri Sana. Kwa kulijua hili ndiyo maana ccm wanagawa vyeo kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Ili kuendelea kutawala milele.
Kwa ukondoo huu wa watanzania tutakaa Sana.