A amanij JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 408 Reaction score 220 Jun 24, 2021 #121 Mkaruka said: Na kwanini Mzanzibar anaongoza wizara zisizo za muungano huku bara wakati Mtanganyika hawezi kuongoza wizara zisizo za muungano Zanzibar ? Click to expand... Sababu kuwa Mzanzibari ni mtanzania na amepiga kura kumchaguwa Raisi waTanzania. Lakini mtanzania bara hakupiga kura kumchaguwa Raisi wa Zanzibar. Umeelewa hapo.
Mkaruka said: Na kwanini Mzanzibar anaongoza wizara zisizo za muungano huku bara wakati Mtanganyika hawezi kuongoza wizara zisizo za muungano Zanzibar ? Click to expand... Sababu kuwa Mzanzibari ni mtanzania na amepiga kura kumchaguwa Raisi waTanzania. Lakini mtanzania bara hakupiga kura kumchaguwa Raisi wa Zanzibar. Umeelewa hapo.