Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Wazanzibar wamehoji na kumshangaa warioba wadai ameyatoa wapi maoni ya serikali tatu mpaka awe na ujasiri wa kuyaweka kwenye rasimu ya katiba?
source RFA gazeti Mtanzania.
DUUUH wazanzibar sasa hamna shukrani..
Mbona nyiemnamsikiliza maakimu seif?Unaposema wazanzibari unamaanisha nini? Yaani maoni ya mtu mmoja unayaunganisha kwa watu wote. Umepita shule kweli wewe? Au ndiye walewale waliyoifanya serikali iunde tume kuchunguza matokeo?
Wanaoshangaa ni magamba kwani wanaona watakosa fulsa za kupewa madaraka Bara kama walivyo zoea. Wazanzibari wa kawaida wanataka wawe na Full Sovereign Government ili wajiamulie mambo yao wenyewe kwa rasirimali zao. Watanganyika tunataka serikali yetu ili asiwepo wa kumtegemea mwenzake, wote tuchangie sawa kwenye Serikali ya Shirikisho.
Unaposema wazanzibari unamaanisha nini? Yaani maoni ya mtu mmoja unayaunganisha kwa watu wote. Umepita shule kweli wewe? Au ndiye walewale waliyoifanya serikali iunde tume kuchunguza matokeo?
Wazanzibar wamehoji na kumshangaa warioba wadai ameyatoa wapi maoni ya serikali tatu mpaka awe na ujasiri wa kuyaweka kwenye rasimu ya katiba?
source RFA gazeti Mtanzania.
DUUUH wazanzibar sasa hamna shukrani..
Labda wanataka seriikali moja ya Zanzibaar tu, na Tanganyika iwe mkoa Siku zote wamekuwa wanalalama wanaonewa kumbe walikuwa wana neep? Pokeeni sasa mmepigiwaWazanzibar wamehoji na kumshangaa warioba wadai ameyatoa wapi maoni ya serikali tatu mpaka awe na ujasiri wa kuyaweka kwenye rasimu ya katiba?
source RFA gazeti Mtanzania.
DUUUH wazanzibar sasa hamna shukrani..
Wazanzibar wamehoji na kumshangaa warioba wadai ameyatoa wapi maoni ya serikali tatu mpaka awe na ujasiri wa kuyaweka kwenye rasimu ya katiba?
source RFA gazeti Mtanzania.
DUUUH wazanzibar sasa hamna shukrani..
Acha uwongo Zanzibar wanataka serikali tatu.