Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Wazanzibar hata hawana taarifa visiwa vyao vinaweza kuzama ndani ya miaka kadhaa ijayo
 
Hilo halina mjadala unakuwa na ndugu alafu anakuwekea guu la shingo tuacheni tupumue,mnaogopa kuchukuwa zile 10km za ukanda wa pwani,maana mnajua kisheria hamtoki. Aafu saivi yupo Samia da tukiikosa chansi hii itabidi tusubirie mwengine akate roho.
Unahisi ikifanyika partition hizo 10KM zitakuwa za Zanzibar Imagine eti wazenji wamekaa Posta eti nchi yetu....kile cha Palestina na Ez ndio kitatokea
 
Wanapoteza muda tu kuandika hayo mapetition, hakuna itakayofanyiwa kazi.m, zaidi ni majibu kama hiyo barua.

Mkoloni mweupe siyo mjinga kwanza anaangalia faida na hasara ya kuwapa hawa masalia ya waarabu hicho wanachotaka, japo hawapewi by now.
 
Huyo aliefanya petition katumwa na watu wenye interest zao binafsi sidhani kama amewashirikisha wazanzibar wote zaidi ya hawa wachache wanaotaka kitu ambacho hawakijui zaidi ya kufuata mkumbo tu, muungano unamanufaa sana pia ndugu zetu watambue wao ni watanzania wasiweke Uzanzibar kupita kiasi Tanzania ni yetu sote watembee huku bara fursa zipo kibao hasa kilimo na fursa zingine.
 
amini usiamini, wazanzibar wanafikiri wakiondoka kwetu wabara tutaumia, cha ajabu hakuna mtu wa bara ambaye huwa anaamini kuwapo kwao kuna maslahi kwetu. wangejua undugu ndio unatuunganisha, lugha na ujirani wasingeona waarabu ni wa muhimu kuliko sisi. hata hivyo, naamni wataamua kwa kura za maoni na uamuzi wowote watakaouchukua sisi wabara tunatakiwa kuuheshimu na kuupokea. kwani tunapata nini toka kwao hata hivyo?
 
Back
Top Bottom