Wazanzibar wanaopinga serikali tatu ni wanafiki

Wazanzibar wanaopinga serikali tatu ni wanafiki

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
Wazanzibar ni watu walalamikaj sana kuhusu muungano huu wa serikali mbili nashangaa kusikia sasa wakianza kupaza sauti kukataa mapendekezo ya serikal tatu na kutaka kubak na serikali mbili .

Watu hawa wamekuwa walalamikaji kwa kila jambo wanalofanya kusingizia muungano tatizo sasa najuliza kwa nini sasa wanasita.tuwe na serikali tatu kila mmoja na mambo yake ikishindikana tuachane.

Watu hawa sasa tumewachoka wanachojua ni kulalamika tu.
 
Mkuu, jenga tabia ya kuheshimu mawazo ya watu!
 
Serikali 3 hatuzitaki tunataka moja tu inatutosha watanzania, kama wale wengine hawaridhiki Waanze mchakato wa kujitoa ktk serikali ya mapinduzi ili waanzishe jamuhuri yao ya watu wa P.
 
Wazanzibar ni watu walalamikaj sana kuhusu muungano huu wa serikali mbili nashangaa kusikia sasa wakianza kupaza sauti kukataa mapendekezo ya serikal tatu na kutaka kubak na serikali mbili .

Watu hawa wamekuwa walalamikaji kwa kila jambo wanalofanya kusingizia muungano tatizo sasa najuliza kwa nini sasa wanasita.tuwe na serikali tatu kila mmoja na mambo yake ikishindikana tuachane.

Watu hawa sasa tumewachoka wanachojua ni kulalamika tu.
Wakati ndugu zetu hawa wakilalamika kuhusu kero za muungano upaned wabara walinyamaza kimya [hawakuzumzia ubaguzi hasa kwa wabara wanaotaka kuwekeza visiwani] na ili kuondoa kero hizi kuwe na serikali 3, kuna wengine wameshaona mbali athari zake na ndiyo maana wanataka serikali 3.
Maoni yangu ni kuwa serikali 3 ni mwanzo wa kufa kwa muungano na utakapokufa waathirika hawatokuwa watu wa bara kwani kama itabidi wahame visiwani hawafiki hata elfu tano lakini kwa ndg zetu hawa itakuwa kaaz kweli kweli maana wametapakaa mno na uzuri wao ni kuwa kuwatambua ni rahisi- Bila muungano wazanzibar kuishi bara itabidi wawe na residence permits na hata hivyo ni wale tu ambao wataonekana kufaa kama ni kiuchumi au kitaalam ndiyo watakaoruhusiwa.
Wazee walisema ngoma ivumapo sana mwishowe hupasuka
 
Ulichosema ni sahihi kabisa. Hali itakuwa tete sana bungeni, kwa sababu nitashangaa nikiona mbunge wa CCM, Zanzibar atakapochangia na kutetea serekali mbili (huko anakotoka hatakubalika), wananchi wameshafundishwa kuwa serekali tatu ndio mpango mzima kuelekea mamlaka kamili hapo baadae. Sasa mbunge wao atakapohitaji serekali mbili, akirudi uchaguzi utakaofanyika hatakuwa na chake. Lakini kwa vyovyote vile mbunge wa CCM, Zanzibar hatachagua serekali tatu kwa sababu anajua anachagua kifo, ulaji utaisha. Wewe unadhani wabunge zaidi ya 50 kuja kula posho bure Dodoma ili eti kujadili mambo hata yasiyowahusu ni jambo la kawaida? Nani atakataa huo ulaji? Lazima mbunge wa CCM, Zanzibar apigie kura serekali mbili.
Wabunge wa CUF wao watasema kile ambacho wameshawaaminisha watu wao kwa muda mrefu kuwa ni serekali tatu kuelekea mamlaka kamili, lakini kwenye kura hawatapigia kura serekali tatu. Unafiki wa Maalim Seif! Anataka huku akiwadanganya watu wake.
 
Ni ajbu kuwa wanataka serikali mbili - Ya Zanzibar na ya Muungano, lakini hawataki ya Tanganyika? Jibu Ni Serikali Tatu au Moja, wachague wachokitaka kati ya hayo mawili.
 
Wanaotaka serikali mbili ni MACCM na hao ndio wanaofaidika na hizo serikali mbili ,mwananchi wa kawaida wala hawezi kuwa na mshiko wa aina yeyote ile.

Wananchi wa ZANZIBAR walio wengi wanahitaji au wanataka serikali tatu na kaama haiwezekani basi Muungano na ufilie mbali.

Hao WAZANZIBARI Wachache waishio Tanganyika hawawezi kuzuia hilo kwani ,wahenga walisema mdharau kwao atakuwa amepotoka ,ni kitu gani kiliwapeleka huko ? Na kitu gani kinaweza kuwarudisha kwao ? Je ni serikali moja ,mbili au tatu ,kwa maoni yangu hakuna hata moja katika hayo ,nilionalo ni hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja ,ni wapi ameona atapata afadhali ,kuna wabara au tuseme watanganyika kibao wapo Zanzibar na vitega uchumi vyao ikiwemo maguesthouse ,mabaa ,hoteli wakiwemo waajiriwa katika sekta binafsi hata za ulinzi wa nyumba ,maduka na sehemu zinazoegeshwa magari nyakati za usiku ,mbali ya hao kuna wakulima ambao wanamashamba yao binafsi na wanamiliki mashamba hayo japo ni ya kulima karanga na viazi vitamu ,wote hao ni watanganyika na wapo pia waTanganyika waliokimbia kodi huko kwao bara na hujishugulisha na kuuza bidhaa mbalimbali manjiani ikiwemo njugu na vinyago.

Kitu gani kiliwakimbiza Tanganyika na kurukia Zanzibar ilihali madai yenu kuwa huko ni bora kuliko Zanzibar ? Jawabu langu kwa upande wangu ni lilelile la hali ya maisha anavyoimudu mtu mmoja mmoja na ilivyo ndani ya akili yake ni wapi anaweza kumudu na kujiendeleza.

Kauli za Zanzibar ambazo niliwahi kuzisikia katika mikutano hasa ya CUF mwanzoni mwa harakati za kukisimamisha chama ni kuwa hata Muungano ukivunjika basi hatafukuzwa mtu ,awe polisi jeshi ,wa serikalini au mwananchi wa kawaida hilo halipo ndani ya agenda ,ni yeye na uamuzi wake kama ataamua kurudi Tanganyika au atabakia Zanzibar kwani lengo la kuanzisha au kudai serikali tatu si kuwafukuza watu ni kutaka kuboresha hali ya Zanzibar kimaisha ,haiaminiki ya kwamba wageni kutoka Tanganyika ndio sababu ya kudumaa uchumi wa Zanzibar ,madai ni serikali ya Tanzania inainyonya na kuibamiza serikali ya Zanzibar na faida kubwa humezwa na viongozi waliomo ndani ya serikali hiyo na Zanzibar hakuna maendeleo yanayoonekana ,sasa ndani ya muundo wa serikali mbili mmoja hapati maendeleo nchi yake haiendi mbele,misaada nayo pia haifiki Zanzibar ,sasa ikiwa itakuwa serikali moja ,si ndio kabisa kutakufa na kuwa kama kisiwa cha wavuvi ? :biggrin1:

Ubora ni serikali tatu au mbili ya Tanganyika na Zanzibar ,bila ya kufukuzwa mtu ,wahuku arudi kwao na wa huku aludi kwao hilo halipo na kama litakuwepo waathirika hawatakuwa WaZanzibari peke yao hata WaTanganyika litawagusa.

Na zaidi mmesahau kama kuna mchakato wa DUAL CITIZEN ambao unakaribia kukubalika ,hivyo hakuna atakaerudi kwao ,
MaCCM mpoo :biggrin1:
 
Nikiongezea hata Tanganyika wapo Watanganyika wanaopinga serikali tatu ,Je na hao si wanafiki ?
 
Kweli mkuu, hao ndio wale waliokuwa wakipinga juhudi za CUF na CCM kuleta maridhiano.
 
hawa watu n vigeu geu sana .ni msalaba kuungana na watu wa aina hii.kujibebesha zigo ,watu wenyewe walalamikaji tu.

Kiukweli watanganyika waishio znz wakiondoka waznz watapata tabu sana hasa sekta ya utalii ambayo ndio inaendesha znz, hawapendi biashara ya urembo wala vinyago, hawako ready kuhudumia wataalii vileo, hawapendi mabinti zao kufanya kazi hizo? wakiambiwa wapike piza za nguruwe wanaona wanaonewa. sasa sijui watafanya nini hawa walalamikaji.

Kama wengi mlivyochangia hata wazanzibar waliohamia tanganyika wamekuja kwa faida zao binafsi ambazo ni mtu mmoja mmoja kaja na mtaji wake anaata biashara yake anasonga mbele kimaisha.Ila hawa watu wabaguzi waliolelewa na kikwete na shein walalamikaji sana. maalim seif naye ni sikio la kufa.
 
Back
Top Bottom