Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni ujinga ndani ya kichwa chako tuu, suala la wazanzibari kutaka mamlaka yao kamili ni la kiuchumi zaidi kuliko kijamii. Nikimaanisha mzanzibari hana sababu ya msingi ya kumchukia mtu.Hizi ni athari za utumwa ..waarabu walikuwa wakiwatambua watumwa kwa kuangalia vichogo maana wao hawana kwa hiyo jamii pia inaona mtu kwenye kichogo ni mtumwa tu.. ndio wakabuni huo ujinga wa kuminya vichwa watoto ili kuondoa hivyo vichogo hii hasa ni Pemba..na ni kweli ukiwa Zanzibar mtu akakwambia wewe chogo anamaanisha wewe ni mbara na kipindi hicho watu wa Bara ndio walikuwa watumwa huko kwao..
Saasa wamebaki na Imani hizo Hadi sasa..
Ndio maana wale jamaa ni kama mataahira kumbeMoja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto.
Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa utoto kwa sababu zako mwenyewe una distort his senses if judgement ukubwana na kuharibu Brain impairment system zote.
Angalia hata kwenye bondia ukipiga ngumi ya nyuma ya kichwa unakatwa point ni faulo. Panalindwa sababu Kuna vitu sensitive sana ila Mzanzibari anapabonyeza hadi mwisho.
Eti asiwe na kichogo na akivaa baragashia apendeze sababu ya kijinga kabisa mnaharibia watoto wa maisha. Nimepita Zanzibar unakuta mtoto hajachangamka kabisa wengine wanatoa madenda tu Kama matahaira sababu brain system zimebonyezwa.
Acheni hili!
View attachment 1790630
View attachment 1790626
😂😂😂Hahaha hawa watu pwani hawa, kule mtwara kuna ambao,wanawaminya makalio watoto wakike, ili wawe na figure za kuvutia
Ndo maana nilkua nashangaa mbona wazenj hawana visogo:
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha hawa watu pwani hawa, kule Mtwara kuna ambao wanawaminya makalio watoto wa kike, ili wawe na figure za kuvutia.
Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto.
Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa utoto kwa sababu zako mwenyewe una distort his senses if judgement ukubwana na kuharibu Brain impairment system zote.
Angalia hata kwenye bondia ukipiga ngumi ya nyuma ya kichwa unakatwa point ni faulo. Panalindwa sababu Kuna vitu sensitive sana ila Mzanzibari anapabonyeza hadi mwisho.
Eti asiwe na kichogo na akivaa baragashia apendeze sababu ya kijinga kabisa mnaharibia watoto wa maisha. Nimepita Zanzibar unakuta mtoto hajachangamka kabisa wengine wanatoa madenda tu Kama matahaira sababu brain system zimebonyezwa.
Acheni hili!
View attachment 1790630
View attachment 1790626
Wahindi wanachua pua ya mtoto iwe ndefu kama honi ya treniMoja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto.