Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

Umenipa shule kubwa katika hili, nilikuwaga najiuliza mbona hawa watu hua wana low IQ mnooo, nilikua nafikiria ni kwasababu za kiroho zaidi ila leo umenipa point nyingine kubwa
It's very logical point.
 
Huo ni ujinga ndani ya kichwa chako tuu, suala la wazanzibari kutaka mamlaka yao kamili ni la kiuchumi zaidi kuliko kijamii. Nikimaanisha mzanzibari hana sababu ya msingi ya kumchukia mtu.

Muungano kama ulivyo kama hauna faida za kiuchumi kwa pande zote mbili sioni sababu za msingi za kutaka kuendela nao. This is logic kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.
 
Ndio maana wale jamaa ni kama mataahira kumbe
 
Duh hawa jamaa wana hatari kweli,ngoja kwanza nifanye research ningalie vichwa vyao...
 

Hutaka wafanane na waarabu
 
Wahindi wanachua pua ya mtoto iwe ndefu kama honi ya treni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…