Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo

It's none of our business, hata wakitaka kuiendesha zenj kama Iran, Afghanistan, au Somalia,
Ukiwa islam, harafu ukakosa elimu,unakuwa kama nguruwe,
Usingeweza kukuta akili kubwa kama Salim Ahmed salim, anakuwa na akili kama hawa kenge wengine
It is our business until the union breaks!
 
Bro una akili kweli ila leo umeboronga .....uganda ilijiunga oic sababu ya idi amini sio waganda walipenda ........ Tanzania wakiristo 50% waislam 32% ....why tujiunge na oic wakati nchi hii siyo kiislam.....
 
 
Naunga mkono hoja. Naomba wazanzibar wasiendelee kubagazwa kwa namna yoyote ile waruhusiwe kujiunga OIC. Watanganyika tuache roho mbaya.
 
Wanataka kuwa OIC lakini wakiambiwa Hilo litafanyika kwa kujadili muundo wa Muungano wanakimbia
 
Mnataka waisraeli watufumue?
 
Ujinga mwingine bwana; wanadhan wakijiunga OIC ndo wataendelea??? Somalia, Yemen, Sudan zote zipo na Nigeria ila wapi?? Hamna watu wabaguzi kama waislam ila wao sasa wakiguswa.....islamaphobia islamaphobia....mxieeeu yaani iyo Zanzibari ijitenge tu iwe nchi yao na uku Tanganyika tuombe tu Wakristo waendelee kuwa the majority coz hao na wenye dini zingine ndo nawaona wanaweza kutenganisha imani zao na serikali ila sio waislamu
 
To be Fair jamaa ameongea Pointi.
 
Hiyo OIC huwa ina manufaa gani katika sehemu ya mwili??

Hili jambo huwa nina uhakika huwa lina anzishwa kwa makusudi maalum ,

Maana ukijaribu kutafuta tofauti yake na hizi jumuiya nyingine ambazo nyingi tu tupo humo huoni na wala hakuna umaalum huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…