Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo

Another useless organization tu ambao nchi za kiislam zinapenda kulalamika wanaonewa na ambao sio waislamu ila angalia majanga wanayoyafanya wao; Sudan, Afghanistan, Somalia, Yemen, Saudi, Iraq. Majanga kibao ila wawezwe kulalamika waislam wakiwajibishwa ubabe wao ila dhumuni kubwa ni kuweka fikra ya Umma km dola moja yaani Caliphate
 
Muungano uvunjwe haraka
 
Ni usumbufu tu
 
Ni wakati wa kuvunja Muungano tujiunge na Waislamu wenzetu fursa nyingi zinatupita tuwaachie Wagalatia na makafiri ardhi yao
 
Waende na wawachukue hao wote aliowataja maana ni wazanzibari sio watanganyika.
 
Sioni tatizo lolote

Mbona tumejiunga na Vatican? 😂
Ndiyo naingia JF, Vatican ......................
Is Vatican a city or a country?




Is Vatican city a country? The answer, in short, is yes. The world's smallest city-state came into existence on the 11th of February 1929 after the signing of the Lateran Treaty. This treaty granted Vatican City the status of a country, bringing to an end a period of political and religious turmoil in Italy.
 
Saa hii OIC imeufyata wakati Israel inafanya yake huko Lebanon!
 
Hapa sasa jersey ya chadema inachafuliwa. Haya maneno yangesemwa wakati huyu mzee kavaa kanzu ndiyo ingekuwa pahala pake.
 
..Tanzania ijiunge na OIC.

..Zanzibar wakipata misaada ni nafuu kwetu Watanganyika.
 
Hapa sasa jersey ya chadema inachafuliwa. Haya maneno yangesemwa wakati huyu mzee kavaa kanzu ndiyo ingekuwa pahala pake.
Huyo ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…