Hawajui tu huyu ni Juma Okello wa Kiembesamaki.
Hili sanamu ndiye yeye?
Ni David livingstone, nimeua dhana ya udini hapoHili sanamu ndiye yeye?
Okello alitimuliwa na nyerere huko darBaada ya ampinduzi ya Zanzibar John Okello aliwahi kutumiwa ujumbe wa maandishi kutoka kwa ‘wakubwa’ wenzie ndani ya Serikali wakimueleza kuwa yeye ni mkristo hivyo hawezi kuwa na nafasi ya uongozi wa juu katika serikali ile ya mapinduzi, siku chache mbeleni alitimuliwa