Wazanzibari kama John Okello angekuwa na jina la kiislam ndio mngemjengea sanamu kumuenzi?

Kwani sanamu huwa inajengwa kwa ajili ya dini au utendaji?
 
Kwani kwenye ukristo huwa kumuenzi mtu huwa lazima mjenge Sanamu?
 
John Okello anastahili kabisa kutambulika kama Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila ujasiri wa John Okello kwenye yale Mapinduzi ya 12 Januari, 1964 huenda hadi leo Wazanzibari wangekuwa bado ni watumwa wa Sultani Jamshid.
 
Baada ya ampinduzi ya Zanzibar John Okello aliwahi kutumiwa ujumbe wa maandishi kutoka kwa ‘wakubwa’ wenzie ndani ya Serikali wakimueleza kuwa yeye ni mkristo hivyo hawezi kuwa na nafasi ya uongozi wa juu katika serikali ile ya mapinduzi, siku chache mbeleni alitimuliwa
 
Okello alitimuliwa na nyerere huko dar
 
Utasikia,"..walishirikiana na makafir kuua waislamu wenzao kisa madaraka".

Huyo Bwana hatajwi popote kwenye historia ya mapinduzi inayofundishwa skuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…