Wazanzibari ni raia daraja la kwanza katika JMT

nitajie kitu kimoja tu Tanganyika inafaidika toka kwa wazanzibari. kimoja tu. kitu pekee kilichopo, watu walipigwa mkwara hakuna kuongelea muungano, wamefumbwa mdomo, ukiongelea muungano tu wewe ni aidha mdini au msaliti. nyerere akatia woga watu wanaogopa hadi leo. ila ikiuliza tunafaidika na nini, hakuna jibu, ila upande wa wazanzibar wao wana faida lukuki.
 
wanasema zanzibar ni ndogo wabara wakihamia huko itapoteza uasilia wake. Kwa hiyo inatunzwa ibaki hivyohivyo ila wao wanaruhusiwa kwenda bara ni pakubwa
Hii habari ina mantiki yoyote?
Zanzibar inao utofauti gani wa kipekee na sehemu zingine duniani, au Tanganyika tu?
Zanzibar itabaki bila kubadilika hadi lini, na watazuia vipi isibadilike. Kuwazuia watu toka Tanganyika hakuzuii Zanzibar kubadilika. Waseme kwamba wataitoa Zanzibar duniani wakaihifadhi mahali fulani kusikofikiwa na wimbi la mabadiliko yanayotokea kila mahali duniani.
Hii sentensi ndipo palipo na UBAGUZI wa waziwazi kabisa. Watu wasiotaka mabadiliko Zanzibar; lakini wao wanaondoka na kwenda huko Tanganyika ambako wanaogopa watu wa huko watawaambukiza mabadiliko?
HUU NI UBAGUZI ULIOWAZI KABISA.
 
hapana cha kupindisha hapo, hebu ulizeni hao wanaoishi zanzibar ni kweli hawapati ardhi ya kununua? Nyinyi munajisemea tu humu kwenye mitandao lakini wale wenye nia hasa huwa wanapata ardhi.
Sasa hii habari ya waTanganyika kutoruhusiwa inatokea wapi. Ni makelele tu yanayopigwa na wahuni kutishia waTanganyika wasiende huko?
Itakuwa hao wahuni wamefanikiwa sana katika juhudi yao hiyo.
 
Dhana potofu kabisa. Wewe ni wakala tu wa kueneza upotoshaji. Ni wapi Nyerere alipiga marufuku muungano usiongelewe?
 
hapana cha kupindisha hapo, hebu ulizeni hao wanaoishi zanzibar ni kweli hawapati ardhi ya kununua? Nyinyi munajisemea tu humu kwenye mitandao lakini wale wenye nia hasa huwa wanapata ardhi.
Mda wowote wanaweza porwa ardhi hizo, kisheria ni wavamizi
 
wanasema ni kisiwa kidogo hakitaweza kuwa na watu wengi na kitapoteza utamaduni wake wa asili
 
wanasema ni kisiwa kidogo hakitaweza kuwa na watu wengi na kitapoteza utamaduni wake wa asili
WaTanganyika ndio wenye uwezo pekee wa kuleta uharibifu huo? Watazuia vipi mapadiliko yanayotokea kote duniani. Walipoingia ndani ya muungano walitegemea nini kitatokea?
Hii ni 'ignorancy' inayowasumbua.
 
wanaowatetea kwa hoja ni watanganyika, halafu hapohapo shangazi yetu yule anakandia watanganyika kuwa hawajitambui wamepoteza utaifa wao na wao wanajielewa na kujinasibu kisawasa
 
Mtikila alikuwa sahihi Tanganyika wageni ndio wanaoifaidi raisi mzenji makamo ni rund, makamu mwenyekiti CCM msomali.

Mawaziri kibao ni wasome, wanyarwanda, wamalawi na waarabu kama zung
Habari ndugu tunaomba jina lako na namba yako ya simu ili watoa huduma wetu waweze kukufikia kwa msaada zaidi.
 
hapana cha kupindisha hapo, hebu ulizeni hao wanaoishi zanzibar ni kweli hawapati ardhi ya kununua? Nyinyi munajisemea tu humu kwenye mitandao lakini wale wenye nia hasa huwa wanapata ardhi.
Hao wenye "nia hasa" ni akina nani. Na "nia hasa" ina maana gani?

Mtu akisikia habari za waTanganyika kutoruhusiwa kununua ardhi Zanzibar, na ikamfanya asiendelee na mipango hiyo, unaweza kusema hana "nia hasa)?

Hizo habari za waTanganyika kutotakiwa huko Zanzibar hata kama siyo rasmi, hazipo?
Wazanzibar wanaokwenda Tanganyika, na wao wanakabiriwa na vitisho vya kutotakiwa huko Tanganyika?
 
Tuendelee kukumbushana.

Mtanganyika unayemshabikia Samia kugombea uRais wa JMT ni bwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…