Wazanzibari tujuane humu

Wazanzibari tujuane humu

Huku kila cku matukio ya ajabu, mara mama anauwa watoto wake wa kuwazaa, mara mtoto anamuuwa mzazi wake, mauwaji yatokanayo na wivu wa mapenzi ndiyo ucseme. Mimi huwa nawaangalia tu wakisema waarabu makatili
Wanaishi kinafiki sana
 
Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama

Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu.
Huu uzi wa kibaguzi
 
Back
Top Bottom