Wazanzibari tujuane humu

Wazanzibari tujuane humu

Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama

Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu.
Nasikia kule kwenu mabwabwa wanazidi kuongezeka.
 
Back
Top Bottom