Wazanzibari tumemchoka Hussein Mwinyi

Wazanzibari tumemchoka Hussein Mwinyi

Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Unaonaje tukafanya Barter Trade!
 
Poleni sana
 
Kukopi na kupesti sisi ni wazanzibar tunamtaka mwinyi!
 
Kosa kubwa ambalo serikali zote mbili zimekuwa zinadanya baada ya Nyerere kuondoka madarani ni kudhani kuwa Tanganyika na zanzibar ziliumbwa kwa ajili ya hao waporaji wa ardhi wanaoitwa wawekezaji toka dunia nzima kuchukua ardhi. Mungu alipotawanya watu katika nchi mbalimbali alitaka kila mtu akae kwake na watu washirikiane ndio maana aliweka rasilimali tofauti kwa aina na viwango kila nchi. Sasa unapochukua ardhi ya zanzibar au Tanganyika unawapa hao wawekezaji huku ukiwatukana wananchi eti kuwa watalipwa fidia, je hiyo fidia hao wananchi watakula hadi wanakufa,? Je watoto na wajukuu wao wataikuta hiyo fidia na kuitegemea kwa kuendeshea maisha yao? Watu wanaongezeka je watajenga wapi au kuzikwa wapi ikiwa kila ardhi ni kwa ajili ya wawekezaji.

Hivi mzanzibari au mtanganyiks anaweza kwenda huko nchi za hao wawekezaji akapewa ardhi?

Katika uchumi kuna kitu kinaitwa comparative advantage au absolute advantage yaani nchi moja imejaliwa hiki na nyingine imejaliwa kitu tofauti na utofauti huo ndio unafanya nchi zitegemeane au ziweza kufanya biashara. Sasa mfano watu weupe wanaweza kugeuza mchznga/ udongo kuwa mashine, sisi tunaweza kulima au shughuli zetu zingine, ukimpa ardhi yako huyo mtunnweupe je wewe utafanya nini ili kupata riziki? Najua wakishanyang,'anya ardhi huwa serikali zinawakejeli wananchi kuwa eti watapata ajira; sasa jiulize kila mwananchi atapata hiyo ajira, hata baadhi wakipata watafanya hadi wanaingia kaburini? Chukulia mtu mwenye miaka hamsini na kuendelea je anaweza kuajiriwa na hao wawekezaji? Je kwa kuwa hawezi kuajiriwa hahitaji kipato ili kumuwezesha kuishi?

Jambo moja hizi serikali za CCM zielewe kuwa kila mwananchi anahitaji kipato na ardhi ni nyenzo muhimu inayowawezesha wananchi kupaa kipato, hizi serikali za kifisadi zinapochukua ardhi za wananchi kwanza zinavuruga na kuondoa kabisa mfumo wa kiuchumi wa wananchi na kutengeneza umaskini wa kudumu kwa hao waliochukuliwa ardhi yao na vizazi vyao vya mbeleni.

Kama mtu anaomba urais wa nchi asidhani anachaguliwa kwa ajili ya kuuza rasilimali za nchi, ni bora ajipime kama hawezi kuwaletea wananchi maendeleo bila kuuza rasilimali hasa ardhi basi asigombee urais kwa sababu kazi ya ursis sio kuuza rasikimali za nchi tu. Mbona Nyerere na Karume hawakuuza na wliiweza kuendesha nchi zao.
 
Nyie wazanzibara hata kwenda chooni mnalalamika pumbavu sana,na mshukuru mnalelewa bure tu siku hizi
 
Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Hama.
 
Wanasemaga, "mswahili ngozi ya tako, hana shukurani, wazanzibar mna bahati kubwa, mnatengenezwa ajira kwa kadri ya hali ya Zanzibar kijiografia ilivyo, bado mmengangana na kucheza bao huku mkilalama, kenge maji nyie!
 
Mnalipwa fidia, shida nini? Kama kuna vyombo mlichimbia, huwa vinahamishika, ongeeni na wazee tu
 
Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Si Mumsomee Albadir?
 
Maendeleo yana gharama zake

Nilitoka huko Mwezi Uliopita, Kwa kweli fukwe nyingi zinajengwa na Wageni

Huku Bara pia fukwe nyingi zilitaka kuuzwa Kwa Wageni miaka fulani ikiwemo Coco beach, hadi JPM aliingilia kati ndiyo jamaa kuziachia
 
Acha Mwinyi awanyooshe maana huwa hamkubali watu wa bara wanunue ardhi Zanzibar ila wazungu, waarab na wahindi mnawapa ardhi kama vile mnagawa njugu bila hata kuhoji
Kuna muda nakukubali sana kwa kustick in reality badala ya muhemko wa kidini

Just Imagine Mwafrika mwenzie mweusi tena Muislam anaenda kwaajili ya kununua ardhi ili awekeze wanamgomea eti hawana ardhi ya kutosha ila anapokuja Kafiri wa kizungu wanampa eneo kubwa analotaka 🤣🤣🤣
 
Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Hebu ondokeni huko mtafute kwa kwenda. Hicho kisiwa ni cha kimkakati msidhani ni kwa ajili ya ninyi kuendelea kuwepo huko.
Imebaki miaka 25 tu ambapo zaidi ya 1/3 yenu mnatakiwa muwe mmeshaondoka huko.
Hivi uwekezaji unaofanyika huko ninyi mlidhani ni kwa ajili yenu? Kwa kipi hasa mlicho nacho? Mlidhani ile sheria ya wabara kutoweza kununua na kumiliki ardhi huko iliwekwa na wazenji? Mlidhani ninyi kuruhusiwa kumiliki ardhi bara ni sababu ya ujanja wenu?
Kila kitu kilishapangwa, uwekezaji unaondelea huko utapelekea gharama za maisha kupanda mara hadi 6 ya ilivyo sasa na wote mtaanza kukimbilia bara.
Mnapoambiwa Hotel ya nyota 7 inaenda kujengwa Pemba mnadhani mnajengewa ninyi ili mkitoka Msikitini muwe mnapitia hapo hotelini kula na kunywa maji na kupumzika kidogo?
Uwekezaji na maendeleo yanayoendelea hapo Unguja mnadhani ni kwa ajili yenu?
Wanapofikiria kujenga daraja la kuunganisha Zanzibar na bara mnadhani hilo daraja ni kwa ajili ya kuvushia tende na Kanzu? Hamuogopi?

Zanzibar inaandaliwa kuwa mji mwingne wa kidunia zaidi ya Dubai.
Mnaoishi Zanzibar jueni kuwa mnaishi maeneo ya hifadhi ya barabara
 
Maendeleo yana gharama zake

Nilitoka huko Mwezi Uliopita, Kwa kweli fukwe nyingi zinajengwa na Wageni

Huku Bara pia fukwe nyingi zilitaka kuuzwa Kwa Wageni miaka fulani ikiwemo Coco beach, hadi JPM aliingilia kati ndiyo jamaa kuziachia
Inapendeza sana
 
Back
Top Bottom