Wazanzibari waanza kufukuza Watanganyika, Tazama hii video. Mamlaka husika zisikae Kimya

Wazanzibari waanza kufukuza Watanganyika, Tazama hii video. Mamlaka husika zisikae Kimya

Akili yangu inaniambia hapa ugomvi wa kisiasa unatengenezwa kimakusudi kati ya Zanzibar na Tanganyika, ili kuondoa attention mbalimbali zinazoendelea kwenye nchi yetu.
Hata mimi nimeona hilo, baada ya lile la udini kushindwa huku Bara wamekuja na spin mpya. Hii itafaniokiwa
 
Bara hakuna mwenye akili ndio maana unakuta wanawekewa hadi madisi, makatibu tawala wabonyeza visogo halafu yanakenua tu kama mwashamba kashikwa tako na dulla.
 
Safi sana mpk wajielewe hao watanganyika. Kibaya zaidi huyu chura aka kizimkazi Hana time na watanganyika kabisa. Hapo anachekelea chini chini.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Wazanzibar wamewekeza na kujenga sana bara...sasa likitokea la kutokea tukianza watoza kodi kama wawekezaji toka nje ya nchi itakuwa shughuri

Am sure inner circle inayoamua serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hawatokubali litokee...wana vingi vya kupoteza.
 
UCHACHE ni NGUVU,, na UWINGI ni UTENGANO,,, watu milioni 1.5 wameweza kuungana na kuwashinda milioni 60.
 
Unalikuta linyamwezi kutoka vichakan uko linamuuita yule muuaji mama mama
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
cha kwanza tutakachokifanya sisi watanganyika, tuanawakatia umeme pale las kilomoni kondo
 
Back
Top Bottom