simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kwani kunahitaji mchakato mkubwa kiasi gani kurudisha Tanganyika mkawa na katiba yenu na kule Zanzibar mda huohuo masharti ya mkataba wa kuungana yanakuwepo? nyinyi Tanganyika mambo munayafanya makubwa ata kufungua mlango wa gari munasema inahitahi muda
Basi ujanja ujanja tu ndio umetawala. Misri wanapiga kura ku kubali au kukataa katiba mpya ambayo imeandaliwa kwa muda mfupi. Kumbuka kura ya maoni kukukubali au kukataa serikali ya umoja wa kitaifa imeandaliwa kwa muda mfupi. Usanii mwingi ndio maana COW imeamua kuendelea na mchakato wa EA bila TZ.