Wazanzibari walikuwa sawa. Muungano wa mkataba ndio unaofaa.

Wazanzibari walikuwa sawa. Muungano wa mkataba ndio unaofaa.

Kwani kunahitaji mchakato mkubwa kiasi gani kurudisha Tanganyika mkawa na katiba yenu na kule Zanzibar mda huohuo masharti ya mkataba wa kuungana yanakuwepo? nyinyi Tanganyika mambo munayafanya makubwa ata kufungua mlango wa gari munasema inahitahi muda

Basi ujanja ujanja tu ndio umetawala. Misri wanapiga kura ku kubali au kukataa katiba mpya ambayo imeandaliwa kwa muda mfupi. Kumbuka kura ya maoni kukukubali au kukataa serikali ya umoja wa kitaifa imeandaliwa kwa muda mfupi. Usanii mwingi ndio maana COW imeamua kuendelea na mchakato wa EA bila TZ.
 
Dada acha dharau kuwa na kauli nzuri watanganyika wote waliopo znz wanauza vinyago??? Acheni mambo ya kibaguzi tatizo huwa hamjifunzi kutokana na makosa waliyofanya nchi za wenzetu. Kuweni na mtazamo sahih na si kutanguliza maneno ya kashfa na kibaguzi. muungano unahitajika sana kulinda maisha ya watanganyika na wazanzibar coz kuvunjika kwa muungano ni kuvunjika kwa Unnguja na Pemba coz baada ya kuvunjika kitakachofuata watu kuishi kwa sheria za nchi husika ndio hapo maisha yatakapokuwa magumu kwa wapemba waliojisahau kwa kujenga na kuwekeza kila kitu chao Tanganyika na hapo sasa ndo watakaporudi kuja kudai nchi yao coz Pemba ilisahaulika ndo wakakimbilia Tanganyika na mpaka sasa bado Pemba imetelekezwa sijui mtawaimbia nyimbo gani...

Nn?.....dharau? Yaani kusema wanauza vinyago nimedharau? Una akili ww? Kwani hio si biashara? Eti ubaguzi...Mbona wenzio wanaifurahia tu kwa inavyowaingizia dola...nitokee na maujinga yako. Hivi dharau unaijua ww? Km unaijua kweli tungeona ukiwakemea ndugu zako wanqpofanyia mzaha upande wa pili...au wen it comes to Tanganyika ndo unamizwa..kua na msimamo, kemea kwa pande zote km kweli unapenda haki na amani..si ubaguzi ukifanyika upande mmoja sawa..! Na usisumbue kichwa chako kuwaza ya wapemba na waunguja mkuu...ya ngoswe waachie ngoswe wenyewe
 
mkataba ni muungano wenye maslahi kwa kila nchi na sio muungano wa kutiana hasara kama wa serikal 3
 
Back
Top Bottom