Wazanzibari waliumbua Bunge! Taasisi 7 zilinyimwa fursa kutoa maoni katika rasimu ya katiba!

Wazanzibari waliumbua Bunge! Taasisi 7 zilinyimwa fursa kutoa maoni katika rasimu ya katiba!

Taratiibu lakini kwa uhakika ukweli unaanza kujifunua....shame kwa Pindi Chana, AG, Balozi Seif, Pinda na Lukuvi.
 
Lissu ni zaidi, na CHADEMA hawakurupuki hata siku moja, hapa chamsingi tujiulize katiba ni ya wanaCCM au yetu wananchi, wazanzibar hawakushilikishwa sana tu, CCM wajue kuwa katiba si yao, wakiitengeneza wao wajue tutaikataa katakata wananchi.
 
Alicho sema Mh.Mbunge ni dhahiri ndicho kilichomo kwenye fikra za wabunge wengi wenye kuelewa mambo kwa mapana yake.Ni wabunge wachache kama akina Nkamia na Kigangwalla waliofurahia kitendo hicho ambo wanafikiria kuburuzwa kwa Mh.Sugu ni kituko au pigo kwa Sugu/Chadema, wanashindwa kuelewa ni kuburuzwa kwa Demokrasia na mustakbali wa nchi.
 
Back
Top Bottom