Wazanzibari wawataka CCM bara, Lissu na Zitto na watu wa bara waache kuongelea mambo ya Zanzibar

Wazanzibari wawataka CCM bara, Lissu na Zitto na watu wa bara waache kuongelea mambo ya Zanzibar

Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo

Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo

Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi viongozi wa bara akina Zitto Kabwe Lisu au CCM bara kuongelea

Zanzibar ni nchi kamili ina Rais wake, tume yao ya uchaguzi, Baraza lao la wawakikishi nk

Wachonga midomo toka bara acheni kujifanya wasemaji wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayo ni yao kikatiba viongozi wa vyama kule Zanzibar ndio watakiwa kuongelea
Hizi nyuzi za kuandikia tandale kwa mtogole unakula embe bichi na chumvi huku ukiota ndoto za mchana uko zenj unakula urojo.
 
Back
Top Bottom