Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
samatta,msuva, ulimwengu nk ni warundichief?Ligi yetu ni daraja la wachezaji wa nje kufanikiwa zaidi kuliko wachezaji wa ndani!! Shida ni nini?!
Wachezaji; Chama , Miqsoune, Morisson, Mayele na wengine wanafanikiwa hapa, na kwenda mbali zaidi kimpra huku wachezaji wa ndani wakipiga kwata tu.
Sasa hivi wachezaji wa kike wanaocheza nje ni idadi kubwa kuliko wa kiume kutoka hapa ndani.