Wazawa msisajiriwe Simba!

Wazawa msisajiriwe Simba!

Ligi yetu ni daraja la wachezaji wa nje kufanikiwa zaidi kuliko wachezaji wa ndani!! Shida ni nini?!

Wachezaji; Chama , Miqsoune, Morisson, Mayele na wengine wanafanikiwa hapa, na kwenda mbali zaidi kimpra huku wachezaji wa ndani wakipiga kwata tu.

Sasa hivi wachezaji wa kike wanaocheza nje ni idadi kubwa kuliko wa kiume kutoka hapa ndani.
samatta,msuva, ulimwengu nk ni warundichief?
 
Hatta sijasema wawaweke wagen benchi ninesema wazawa pekee wanaaminiwa simba ni wale walioanza wakat inaanza kupata mafanikoo basi
So baada ya hapo amna aliyetoboa hata kucheza no ya mzawa mwenzake
Wanaocheza nikwasababu ya kiwango.hayo mengine ni hisia zako kwasababu wote tunawafahamu uwezo wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo wako utakupeleka wapi? Hivi unaweza kuthubutu kusema kuwa katika miaka 6 iliyopita wafuatao hawakuwahi kupenya kikosi cha Simba: Kakolanya, Bocco, Kibu Denis, Nungunungu na wengine wapo wengi tu!!(japo kwa sasa yupo Yanga) lakini miaka 6 iliyopita alikuwa Simba!! kama Kakolanya alivyokuwa Simba!!

Unabisha them unajidanganya Boco/Zimbwe/Kapombe:Manura wote hao walianza na simba ile iliyoanza kupata mafanikio baada ya hapo mchezaji mzawa pekee aliyefanikiwa kupenua ni Kibu peke yake
 
Back
Top Bottom