Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
samatta,msuva, ulimwengu nk ni warundichief?Ligi yetu ni daraja la wachezaji wa nje kufanikiwa zaidi kuliko wachezaji wa ndani!! Shida ni nini?!
Wachezaji; Chama , Miqsoune, Morisson, Mayele na wengine wanafanikiwa hapa, na kwenda mbali zaidi kimpra huku wachezaji wa ndani wakipiga kwata tu.
Sasa hivi wachezaji wa kike wanaocheza nje ni idadi kubwa kuliko wa kiume kutoka hapa ndani.
Miaka mingapi imepita toka hao watoke hapa Bongo?! Nani mwingine ametoka baada yao?samatta,msuva, ulimwengu nk ni warundichief?
kelvin john, novatus mirosh(shaktar donestk) himid mao , baraka majogoro (south africa), abdi bandaMiaka mingapi imepita toka hao watoke hapa Bongo?! Nani mwingine ametoka baada yao?
Wanaocheza nikwasababu ya kiwango.hayo mengine ni hisia zako kwasababu wote tunawafahamu uwezo wao.Hatta sijasema wawaweke wagen benchi ninesema wazawa pekee wanaaminiwa simba ni wale walioanza wakat inaanza kupata mafanikoo basi
So baada ya hapo amna aliyetoboa hata kucheza no ya mzawa mwenzake
Nani katoka miaka ya hivi karibuni kutoka ligi kuu?kelvin john, novatus mirosh(shaktar donestk) himid mao , baraka majogoro (south africa), abdi banda
u dont have data!Nani katoka miaka ya hivi karibuni kutoka ligi kuu?
Sina mkuu, ndio maana nimeombau dont have data!
no right to speak without research chief
Bora Ali na alipewa nafasi mbele ya huyo Babu Ayubu.Hivi yule kipa sijui Salim na bwana Ayubu nani angalau?
Uongo wako utakupeleka wapi? Hivi unaweza kuthubutu kusema kuwa katika miaka 6 iliyopita wafuatao hawakuwahi kupenya kikosi cha Simba: Kakolanya, Bocco, Kibu Denis, Nungunungu na wengine wapo wengi tu!!(japo kwa sasa yupo Yanga) lakini miaka 6 iliyopita alikuwa Simba!! kama Kakolanya alivyokuwa Simba!!