Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wanyonge au wavivu wa kupambana?wanyonge wanakuja kujitetea
Wao walivyokuwa wakiitwa hilo jina wanajisikia raha wenyewe,,hahahaaEti wanyonge wa magu🤣🤣🤣🤣🤣🥴
Sawa ndo ututukane..?Mwizukulu
Halafu wanaona siiifa kuitwa hilo jina[emoji23][emoji3]Wao walivyokuwa wakiitwa hilo jina wanajisikia raha wenyewe,,hahahaa
Kumbe wanaongezewa umaskini🤒Wao walivyokuwa wakiitwa hilo jina wanajisikia raha wenyewe,,hahahaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸Sawa ndo ututukane..?
Naona ameamua atutukane tena kwa ukali 😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸
Huyu jamaa Mwizukulu mgikuru nina mpango wa kumpea baadae ivo Lazima akili yake ivurugike hivi....msameheNaona ameamua atutukane tena kwa ukali 😁😁
😁😁 nimemsamehe umpe ili akili ikae sawiaHuyu jamaa Mwizukulu mgikuru nina mpango wa kumpea baadae ivo Lazima akili yake ivurugike hivi....msamehe
Tena popo kanyea mbingu🤭😁😁 nimemsamehe umpe ili akili ikae sawia
HApo utamfanya amwage ubongo 😄😄Tena popo kanyea mbingu🤭
ahahahahaha tz hii hii au mbele ukoWenzetu wakikutilia shaka tu wanaomba Id kwanza ndo wakupe pombe, Nina ndugu yangu mkubwa kwangu ila mwili mdogo balaa, tulienda mahali wanakataa kumhudumia yeye mpaka akatoa id
MhhNimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao.
Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma vipi Pombe na sigara? Mnawaharibu watoto wenu wenyewe mtoto anatumwa pombe akifika mahari anatizama huku na huku anafungua kichupa anaonja, nyinyi wazazi mliokuwa mkiitwa wanyonge acheni tabia hii.
Mwizukulu mgikuru
🤣🤣Tulia dawa imkoleeHApo utamfanya amwage ubongo 😄😄
Maumivu yakizidi amuone daktar🤣🤣Tulia dawa imkolee