Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

Wanyonge wanakuja kujitetea
f
Vipi wale watoto ambao nyumbani pombe zipo kwenye friji yaani akichukua maji tungi hizi hapa
Hawa watoto wa sahv wana nn kwan kila kitu wanaharibikiwa
Sio sahihi kutuma watoto pombe,mie mwanangu siku nimeenda mwanza,tukawa tumetulia tu seblen,sasa aliponiona nimekaa kimya,akaniuliza,mama unawaza nini?nikamjibu wala siwazi lolote,

Akasema au nikakuletee dawa ya bibi unywe uchangamke kidogo?nikamjibu dawa gani?akaenda kuleta bia moja toka kwenye friji,nikamwambia mie situmii hii.

Nikamwuliza kwani wewe huwa unatumia?akanijibu,hapana ni dawa ya bibi anamtumaga kaka Evans dukani akamnunulie🤣🤣🤣
So watoto wanaelewa kuhusu vilaji.
 
Sisi wengine tumetumwa na tumezifungua kabisa ila kwa onyo kali kuwa tuwe mbali nazo mpaka muda utakapofika hatujaharibikiwa chochote
Btw 15yrs tayari ni mkubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko huyo bibi yao aliwaambia hiyo dawa yake inatoa stress, uwiiiih
 
Uswaz mtoto miaka 10 unamkuta usiku yuko kwenye singeli

Ova
 
Naunga mkono hoja.
 
Sio sahihi kabisa mzazi kufanya hivyo labda uyo mzazi chenga..me wanangu hawajawahi Niona nakunywa Wala nikimoka Yani.
 
Labda watoto wenu hawa na hawa wa kizazi kipya, but nakumbuka miaka ile sisi na hata mimi nimetumwa sana yaani sana hata kuwasha sigara nimewasha sana.

Kama hujuavyo sigara siyo njiti ya kiberiti kwamba inawaka yenyewe lazima upige pafu (fundo) moja ndipo ikolee so, pamoja na hayo yote ya kutumwa hadi leo sikuwahi kuwa na hisia.

Miaka ya hapo nyuma nimejaribu kubel ile ya wahindi but nothing else hadi leo olaah.

So ni uchizi, akili na ujinga wa mtoto wako tu ndiyo utamfanya awe bumbuwazi kwa hizo kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…