Wazazi hawataki nioe binti kutoka Mgeta - Morogoro

Wazazi hawataki nioe binti kutoka Mgeta - Morogoro

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wakuu nimekuwa kwenye mahusiano na binti kutoka Mgeta - Morogoro. Sasa wazazi hawataki kusikia kabisa hii habari.
 
Waeleweshe wazazi wako,ikishindikana,waambie wakwambie sababu kuu ya wao kutotaka wewe usioe huko,nadhani wanazo sababu,hawajataka kukwambia mwanzoni.
 
Hawaoi wao unaoa wewe,
Yes utawakatalia utaoa huyo binti trust me kunachembechembe za SABABU zao zitainuka watasema tulimwambia hakusikia ila hii itatikea endapo wewe na mke wako hamtosimama sawasawa.
Watu wa huko hawana tofauti na wazaramo.
 
Mapenzi upofu ila hizi mambo mara nyingi watoto huja kulia baadae.

Sikiliza wazazi usikaze fuvu hilo.
 
sikiliza wazaz wanawake wapo wengi.utajiskiaje umeoabkwa kulazimisha alafu yatokea mambo usiotarajia utarudi kwao kuomba ushauri. wazazi wetu wanaona mengi kabla yetu waulize wangependa uoe wapi alaf tafta mwanamke wa maeneo hayo
 
Back
Top Bottom