Wazazi hawataki nioe binti kutoka Mgeta - Morogoro

Wazazi hawataki nioe binti kutoka Mgeta - Morogoro

na kama unaweza maisha ya wazaramo we oa ila kama moyo wako kitenesi we mfanye awe mchepuko maana ukimuoa utalia sana kama una hasira za bara utajiua. mwanamke wa hvo jitahdi sana uwe ushazoea maisha ya pwani
 
Wazazi wako wapo sahihi.

Hawa wanawezana na wanaume wa Mgeta tu. Shida kubwa wa Mabinti wa Mgeta ni kwamba huwa hawadumu kwenye ndoa. Hawaoni shida kila mtoto akiwa na Baba yake.

Ukitaka kuamini hiki ninachokisema, wewe anza kwa kufuatilia kwa Familia ya huyo Binti, Kuanzia Mama, Mama wadogo hadi kwa Dada zake wa huyo Binti utapata ukitakacho. Hao wa Mgeta ndio walio sababisha kwenye Sensa kuwe na maswali Namba 64 - 68 ni maalum kwa ajili yao.

Sikuzote mtoto wa Nyoka nae ni Nyoka.
 
Back
Top Bottom