LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kwenye video jamaa kafunguka vitu vingi Sana muhimu. Mwenye kusikia na asikie na mwenye kujifanya kipofu aendelee kujifanya kipofu hivyo.
Video Yake inapatikana You Tube.
Kwenye video jamaa katema madini mengi Sana. Baadhi ya madini aliyo Tema ni pamoja na : ππππ
1. Masikini hutengeneza masikini mwenzake. Masikini hawezi kutengeneza tajiri hata siku moja Kwa sababu hana uwezo huo wa kiakili wa kumtengeneza tajiri. Wazazi wengi wanao somesha hizi English Mediums za milioni moja hadi 2 ni masikini... Wanacho kifanya ni kuwatengeneza masikini wenzao wa hapo baadae huku wakimtajirisha mmiliki wa shule in the process.
How? Hiyo hela wanayo lipia kwenye shule hizo hailingani na anacho pewa mtoto shuleni ( No value for money)
Mtoto anakaririshwa ili afaulu mitihani ya NECTA halafu aishie kutembea na bahasha kutafuta Kazi ambazo hazipo.
Hiyo hela mzazi angeweza kuiwekeza kwenye real assets mfano mashamba na kilimo huku akimsimamia mtoto wake kwenye shule za government Kwa ukaribu Hadi afike Chuo kikuu, by the time mtoto anamaliza Chuo anamkuta mzazi ana investments na assets za kutosha. So mtoto anakuwa na pa kuanzia. Tofauti na wazazi wengi masikini ambao huingia kwenye umasikini mkubwa Kwa kuuza Hadi assets zao ili eti mtoto asome kwenye shule ya private.
2. Watu WA kawaida Kwa sababu hawana uwezo unaoweza kujitambulisha wenyewe lakini wanataka kutambuliwa na watu, hutengeneza tukio litakalo wafanya watambuliwe na watu
So huwapeleka watoto Wao shule za EMs ili Jamii iwatambue kwamba wana majukumu. Wanasomesha watoto Wao shule za EMs. In the due process wanajitia umasikini huku wakiwaandaa watoto Wao kuja kuwa masikini.
Imagine mtu anaishi kwenye nyumba ya kupanga hana hata kiwanja halafu eti ana jistress kusomesha Ems.
Haya Sasa twende Kazi. Kimbia haraka Sana kamtoe mwanao Ems umrudishe Kayumba.
You will thank me later
ππππππ
Making Kayumba Schools Great Again Campaign
MAKAGA Campaign.
#God bless all Kayumba Schools.
#God bless the Kayumba children of this country.