Wazazi kama mna hii midoli, ichomeni moto

Shetani anatumia vitu ,ndio maana hata manabii wa uongo wanasisitiza sana objects

Unaungamanishwa na roho chafu kupitia object

Huwezi kurogwa kamwe bila kufungua mlango Fulani kwenye maisha yako ,ndio maana itahitajika kitu chako ili urogwe
NI kweli
 
Wakati simu zinatoka hasa smartphones Kuna watu wa dini walikuwa wanasema hii ni project ya freemasons, ukimiliki simu basi imeingia kwenye Ushetani 🤣
Cha ajabu wamekuja kubadili gia anagani wanatumia smartphone kama kawaida na mahubiri wanapost kupitia hizo simu ambazo Mwanzoni ilionekana kama ushetani🤣
 
Shetani anatumia vitu ,ndio maana hata manabii wa uongo wanasisitiza sana objects

Unaungamanishwa na roho chafu kupitia object

Huwezi kurogwa kamwe bila kufungua mlango Fulani kwenye maisha yako ,ndio maana itahitajika kitu chako ili urogwe
hofu tu hizo mkuu, kesho mashetani wakianza kabudu viatu itabidi tuanze tembea peku ---
 
zama za freemasons , hata t-shirt shingoni ikiwa ipo v-shaped walikua wanasema ni mpango wa freemasons, mizimu yao inakuingia
 
kutabasamu kwa Pazuzu kunahusiana vipi na dhihaka. use vivid example to validate your argument
 
Pole bichwa linapogeuka mzigo wa shingo🚮
 
Acha upumbulu wewe
Ni wewe ndio unaunganisha na hizo imani potofu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…