Wazazi kuweni makini na watu wanaowatania watoto wa kike kwa kuwaita wachumba

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nazungumza haya huku nikiwa serikali za mtaa baada ya kumuadhibu kipigo kitakatifu mwanaume mmoja wa makamo mwenye miaka arobaini na tano (45).

Baada ya kumkuta akimshika shika maziwa (chuchu) mtoto wangu wa kike mwenye miaka mitano huku akifurahi sana kwa kumuita mchumba na mtoto mdogo nae anacheka huku akisema babu mchumba.

Huyu mtu wa makamo ni jirani yangu watoto wamemzoea na ndiyo michezo yake kwa watoto kuwaita mchumba kuwabeba beba na kuwatomasa chuchu huku akiwaita mchumba.

Kiukweli hii ni mbaya sana kwanza inaharibu saikolojia ya mtoto halafu hata wabakaji ndipo wanapoanzia hapo.

NALIA NGWENA nimemkuta kwa macho yangu akitomasa binti yangu nilimuuliza alizani natania ndipo nikaanza kumpa kipigo heavy ndipo majirani wengine haswa wamama wenye watoto wa kike wamekuja na kuanza kusema huyu ni mkwe wetu Hana shida lakini niliamua kumbeba mpaka kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa ili iwe fundisho kwa wajinga wengine na washenzi.

Nyie wanawake msiruhusu hao wazee kuchezea watoto chuchu kwa kigezo eti anamtania Kama mchumba ake ni hatari sana katika malezi ya watoto.

Nawasilisha hoja.

.................

Katika Jamii zetu Watu wazima wamezoea kuwatania Watoto kwa kuwaita Watoto wa Kike kwa Wakiume 'Wachumba' jambo ambalo linaharibu Saikolojia ya Mtoto na kuchochea Ukatili kwa Watoto, wakati mwingine Mtu mzima anaweza kuzoea kumtania na kufika mbali zaidi na kumbeba mtoto huku akimtomasa, hali ambayo isipokemewa mapema huweza kusababisha Mtoto kufanyiwa Ukatili wa Kingono

Nijukumu la Wazazi na Jamii kwa Ujumla kukemea Watu wa namna hii na waripotiwe katika Vyombo husika ili kukabiliana na Matukio ya Watoto kufanyiwa vitendo vya Ukatili
 
Uko sawa hata m nilishuudia jamaa anaanza hako kamchezo lakini baada ya miaka 10 yule mtu mzima akiwa na mjukuu mmoja alianza kukatafuna kale kabinti kakiwa kidato cha kwanza
 
Nazungumza haya huku nikiwa serikali za mtaa baada ya kumuadhibu kipigo kitakatifu mwanaume mmoja wa makamo mwenye miaka arobaini na tano (45).

Baada ya kumkuta akimshika shika maziwa (chuchu) mtoto wangu wa kike mwenye miaka mitano huku akifurahi sana kwa kumuita mchumba na mtoto mdogo nae anacheka huku akisema babu mchumba.

Huyu mtu wa makamo ni jirani yangu watoto wamemzoea na ndiyo michezo yake kwa watoto kuwaita mchumba kuwabeba beba na kuwatomasa chuchu huku akiwaita mchumba.

Kiukweli hii ni mbaya sana kwanza inaharibu saikolojia ya mtoto halafu hata wabakaji ndipo wanapoanzia hapo.

NALIA NGWENA nimemkuta kwa macho yangu akitomasa binti yangu nilimuuliza alizani natania ndipo nikaanza kumpa kipigo heavy ndipo majirani wengine haswa wamama wenye watoto wa kike wamekuja na kuanza kusema huyu ni mkwe wetu Hana shida lakini niliamua kumbeba mpaka kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa ili iwe fundisho kwa wajinga wengine na washenzi.

Nyie wanawake msiruhusu hao wazee kuchezea watoto chuchu kwa kigezo eti anamtania Kama mchumba ake ni hatari sana katika malezi ya watoto.

Nawasilisha hoja.
Roho mbaya tu, Muache mwamba ajilie unyumba
 
Miaka 45 ni mzee! Kweli wewe ni Mzize (mchezaji kinda wa Yanga)
 
Picha Iko wapi
.
IMG-20230212-WA0004_023615.jpg
 
Back
Top Bottom