Wazazi kuweni makini na watu wanaowatania watoto wa kike kwa kuwaita wachumba

Nazungumza haya huku nikiwa serikali za mtaa baada ya kumuadhibu kipigo kitakatifu mwanaume mmoja wa makamo mwenye miaka arobaini na tano (45).

Baada ya kumkuta akimshika shika maziwa (chuchu) mtoto wangu wa kike mwenye miaka mitano huku akifurahi sana kwa kumuita mchumba na mtoto mdogo nae anacheka huku akisema babu mchumba.

Huyu mtu wa makamo ni jirani yangu watoto wamemzoea na ndiyo michezo yake kwa watoto kuwaita mchumba kuwabeba beba na kuwatomasa chuchu huku akiwaita mchumba.

Kiukweli hii ni mbaya sana kwanza inaharibu saikolojia ya mtoto halafu hata wabakaji ndipo wanapoanzia hapo.

NALIA NGWENA nimemkuta kwa macho yangu akitomasa binti yangu nilimuuliza alizani natania ndipo nikaanza kumpa kipigo heavy ndipo majirani wengine haswa wamama wenye watoto wa kike wamekuja na kuanza kusema huyu ni mkwe wetu Hana shida lakini niliamua kumbeba mpaka kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa ili iwe fundisho kwa wajinga wengine na washenzi.

Nyie wanawake msiruhusu hao wazee kuchezea watoto chuchu kwa kigezo eti anamtania Kama mchumba ake ni hatari sana katika malezi ya watoto.

Nawasilisha hoja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nakubali sana , kipigo cha OVER2.5 itapendeza zaid [emoji23] [emoji23]

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Malaya wapo hadi wa 5000 Afu mtu anaharibu watoto!
 
Nazungumza haya huku nikiwa serikali za mtaa baada ya kumuadhibu kipigo kitakatifu mwanaume mmoja wa makamo mwenye miaka arobaini na tano (45).

Baada ya kumkuta akimshika shika maziwa (chuchu) mtoto wangu wa kike mwenye miaka mitano huku akifurahi sana kwa kumuita mchumba na mtoto mdogo nae anacheka huku akisema babu mchumba.

Huyu mtu wa makamo ni jirani yangu watoto wamemzoea na ndiyo michezo yake kwa watoto kuwaita mchumba kuwabeba beba na kuwatomasa chuchu huku akiwaita mchumba.

Kiukweli hii ni mbaya sana kwanza inaharibu saikolojia ya mtoto halafu hata wabakaji ndipo wanapoanzia hapo.

NALIA NGWENA nimemkuta kwa macho yangu akitomasa binti yangu nilimuuliza alizani natania ndipo nikaanza kumpa kipigo heavy ndipo majirani wengine haswa wamama wenye watoto wa kike wamekuja na kuanza kusema huyu ni mkwe wetu Hana shida lakini niliamua kumbeba mpaka kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa ili iwe fundisho kwa wajinga wengine na washenzi.

Nyie wanawake msiruhusu hao wazee kuchezea watoto chuchu kwa kigezo eti anamtania Kama mchumba ake ni hatari sana katika malezi ya watoto.

Nawasilisha hoja.
Na ukizubaa anamaliza kazi kabisa
 
Safi Sana Mkuu, wabakaji huanzia na utani Kisha wanabaka.... Vitoto vidogo haina hata maskini vina jenga trust alafu badae wanatendewa unyama.. Na iwe fundisho kwa wengine
 
Nazungumza haya huku nikiwa serikali za mtaa baada ya kumuadhibu kipigo kitakatifu mwanaume mmoja wa makamo mwenye miaka arobaini na tano (45).

Baada ya kumkuta akimshika shika maziwa (chuchu) mtoto wangu wa kike mwenye miaka mitano huku akifurahi sana kwa kumuita mchumba na mtoto mdogo nae anacheka huku akisema babu mchumba.

Huyu mtu wa makamo ni jirani yangu watoto wamemzoea na ndiyo michezo yake kwa watoto kuwaita mchumba kuwabeba beba na kuwatomasa chuchu huku akiwaita mchumba.

Kiukweli hii ni mbaya sana kwanza inaharibu saikolojia ya mtoto halafu hata wabakaji ndipo wanapoanzia hapo.

NALIA NGWENA nimemkuta kwa macho yangu akitomasa binti yangu nilimuuliza alizani natania ndipo nikaanza kumpa kipigo heavy ndipo majirani wengine haswa wamama wenye watoto wa kike wamekuja na kuanza kusema huyu ni mkwe wetu Hana shida lakini niliamua kumbeba mpaka kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa ili iwe fundisho kwa wajinga wengine na washenzi.

Nyie wanawake msiruhusu hao wazee kuchezea watoto chuchu kwa kigezo eti anamtania Kama mchumba ake ni hatari sana katika malezi ya watoto.

Nawasilisha hoja.
Alishika chuchu tu au hadi na kule chini?
 
Tukisema tumvunje vidole,atatomasa Kwa ulimi,Watu dizain Hii ni kupiga shot ya pumb* nyege za kijinga ziwatoke
 
Back
Top Bottom