Wazazi kuweni makini wakati mnachagua English Medium Schools za kusoma watoto wenu

zebingwa

Member
Joined
Oct 6, 2024
Posts
33
Reaction score
71
Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha english medium,, huu ni upopoma
 
LIPA ADA ACHA JANJA JANJA MZAZI

ni kweli aisee naweza sema 90% ya english medium zinazofuata necta hazina kiingereza

tamaduni ya kuongea kiingereza haipo

ndo maana waalimu wanaishia kutumia mbinu lazimishi kama kuchapa swahili speakers ama kuwavalisha mabango ya aibu
 
Ni bora aanze na broken hivi hivi utotoni atainyoosha ukubwani, kikubwa kichwa kitapokea misamiati mingi sasa ubongo ukiwa mbichi na miundo ya sentensi itamkaa mapema kuliko kuanzia hayo yote kidato cha kwanza
 
Napenda kumuona anapofurahi pale akiwa kwenye school bus.Alikua ananimbia baba mbona mimi siji kuchukuliwa na gari kama wengine?
Imebidi nimuamishe shule kumtoa upweke wa kwenda shule bila gari wala bembea!
 
Watanzania na waafrica kiujumla ni mazezeta wanaobeba vichwa kama HELMET!!!

Acha wamiliki wa hizi EM waendelee kuendesha magari ya kifahari na kuishi vizuri na familia zao.

Watoto wenu wa EM saivi wapo kariakoo wamekuwa MAWINGA😄😄😄😄

Akili za mtu mweusi ni takataka,bure kabisa!!!!
 
Upeleke international Kwa Hela zipi Kwa watanzania walio wengi?International yenye ada nafuu ni milioni nane Kwa mwaka Sasa mtanzania ataweza?Tukomae tu na hizi za milioni Moja na nusu Hadi mbili na nusu
 
Watanzania na waafrica kiujumla ni mazezeta wanaobeba vichwa kama HELMET!!!

Acha wamiliki wa hizi EM waendelee kuendesha magari ya kifahari na kuishi vizuri na familia zao.

Watoto wenu wa EM saivi wapo kariakoo wamekuwa MAWINGA😄😄😄😄

Akili za mtu mweusi ni takataka,bure kabisa!!!!
Mawazo ya kihayawani na ya mtu ambaye hajaelimika.
 
ni kweli aisee naweza sema 90% ya english medium zinazofuata necta hazina kiingereza

tamaduni ya kuongea kiingereza haipo

ndo maana waalimu wanaishia kutumia mbinu lazimishi kama kuchapa swahili speakers ama kuwavalisha mabango ya aibu
Inaonekana ulivaa sana mabango hayo na fimbo za swahili speaker
 
Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha english medium,, huu ni upopoma
Uongo za uswahilini ziko zinafundisha hadi kiarabu ,kifaransa na kingereza

Wanajitahidi mno sio utani
 
Back
Top Bottom