Wazazi kuweni makini wakati mnachagua English Medium Schools za kusoma watoto wenu

Wazazi kuweni makini wakati mnachagua English Medium Schools za kusoma watoto wenu

Kuna wale waliosambaza mabango ya matangazo yao kila mtaa kuwa wanaendesha masomo ya QT, tuition na english course kwa wanafunzi wa vidato mbalimbali ikiwa ni pamoja na "reseaters". Sasa unajiuliza hawa wanatoa english course lakini hawajui tofauti kati ya resitters na reseaters!
 
Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha english medium,, huu ni upopoma
Njanuary inamambo? Kalipe ADA mkuu.
 
Back
Top Bottom