Wazazi kuweni makini wakati mnachagua English Medium Schools za kusoma watoto wenu

Wazazi kuweni makini wakati mnachagua English Medium Schools za kusoma watoto wenu

Napenda kumuona anapofurahi pale akiwa kwenye school bus.Alikua ananimbia baba mbona mimi siji kuchukuliwa na gari kama wengine?
Imebidi nimuamishe shule kumtoa upweke wa kwenda shule bila gari wala bembea!
Wengi tunafanya hivi ila graduation menu wanatuangusha msosi hauwi wa kibabu, nyinyi wamiliki wa shule kwenye mahafari ya hawa vijana mnatuchangisha pesa nyingi sana ila tukija kwenye upande wa misosi mnatuangusha kwa kweli mpaaka mtu unajutia ile pesa umechanga kwa ajili ya kijana wako, tafadhari msosi uwe wa kibabe kila mahafari yanapofika
 
Msipotoshe inasaidia kuna dogo kapata deal la kufanya utafiti nchi 12 za ulaya kwa mwaka mzima huku akilipwa pesa ndefu binafsi namfaham dogo sio smart kivile ila lugha imebeba nikiangalia hawa wengine wapo wengine wapo smart kweli kilichoowaangusha ni lugha ya malikia.
Maana walikuja mabepari wenyewe ndio walikuwa wanafanyisha interview.
 
ni kweli aisee naweza sema 90% ya english medium zinazofuata necta hazina kiingereza

tamaduni ya kuongea kiingereza haipo

ndo maana waalimu wanaishia kutumia mbinu lazimishi kama kuchapa swahili speakers ama kuwavalisha mabango ya aibu
Uongo

English Medium zote kukuta mtoto hajui kingereza akimaliza msingi sio kweli

Mfano hata kenya kingereza wanasoma Shuleni syllabus ya NECTA mtaani na nyumbani lugha ni kiswahili na lugha za kikabila lakini wanakimudu kingeteza hasa
 
Huku kanda ya ziwa ndio balaa, mtoto anaongea English anakandamiza kisukuma.
Ila lugha ya mtoto inaanzia nyumbani, kile mtakachokiongea home ndio kinachomkaa, walimu wanamalizia tu. Ndio sababu lugha zetu za asili sisi wahenga tulizijua kirahisi sababu zilikuwa zinaongewa nyumbani na si shuleni.
 
“Hey You,Not Kukojoa”

Hiyo line hapo juu nimeinukuu siku moja napita pembeni ya shule moja hizo zinazoitwa za kisasa nikamsikia mwalimu akiambia hivyo watoto/mtoto,nadhani kuna dogo alitaka kumwaga kojo sasa teacher ikabidi amuelekeze kwa lugha wanayojaribu kuwafundisha ambayo hata mwenyewe haijui.
 
Maboga yetu mnataka tukayapeleke wapi wakuu si wanapanda magari ya njano rangi ya maboga kwenda na kurudi shida ipo wapi?
 
Uongo

English Medium zote kukuta mtoto hajui kingereza akimaliza msingi sio kweli

Mfano hata kenya kingereza wanasoma Shuleni syllabus ya NECTA mtaani na nyumbani lugha ni kiswahili na lugha za kikabila lakini wanakimudu kingeteza hasa
Fluency is relative.

Wazazi wengi ni gen x, wanajua kiingereza lakini kidogo.

Hawa watoto wanajua kiingereza kuliko wazazi, lakini sio katika kiwango kinachotakiwa.

Hivyo wazazi, wanaona kama watoto wanajua kiingereza.

Lakini viwango ni vibovu nina uhakika graduates wengi wa msingi wakipewa standardized tests za kiingereza mfano IELTS au TOEFL watafeli vibaya mno.
 
Acha tuwasomeshee huko huko mkuu hivyo maboga yatanawiri siku moja yatatema yai
 
Msipotoshe inasaidia kuna dogo kapata deal la kufanya utafiti nchi 12 za ulaya kwa mwaka mzima huku akilipwa pesa ndefu binafsi namfaham dogo sio smart kivile ila lugha imebeba nikiangalia hawa wengine wapo wengine wapo smart kweli kilichoowaangusha ni lugha ya malikia.
Maana walikuja mabepari wenyewe ndio walikuwa wanafanyisha interview.
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
 
Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha english medium,, huu ni upopoma
Unajua wanachofanya hizo international au jina limekuchanganya.
 
Mkifika advance ndo unagundua hakuna tofauti ya aliyesoma private schools na shule za serikali yaani hawa waliosoma private ni vilaza tu
 
Back
Top Bottom