Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha english medium,, huu ni upopoma
Ni bora aanze na broken hivi hivi utotoni atainyoosha ukubwani, kikubwa kichwa kitapokea misamiati mingi sasa ubongo ukiwa mbichi na miundo ya sentensi itamkaa mapema kuliko kuanzia hayo yote kidato cha kwanzaWatanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha english medium,, huu ni upopoma
Mawazo ya kihayawani na ya mtu ambaye hajaelimika.Watanzania na waafrica kiujumla ni mazezeta wanaobeba vichwa kama HELMET!!!
Acha wamiliki wa hizi EM waendelee kuendesha magari ya kifahari na kuishi vizuri na familia zao.
Watoto wenu wa EM saivi wapo kariakoo wamekuwa MAWINGA😄😄😄😄
Akili za mtu mweusi ni takataka,bure kabisa!!!!
90%utafiti wako umeufanya lini?ni kweli aisee naweza sema 90% ya english medium zinazofuata necta hazina kiingereza
tamaduni ya kuongea kiingereza haipo
ndo maana waalimu wanaishia kutumia mbinu lazimishi kama kuchapa swahili speakers ama kuwavalisha mabango ya aibu
Sawa mkuu wa mahayawani na kilaza wa mwisho!Mawazo ya kihayawani na ya mtu ambaye hajaelimika.
Inaonekana ulivaa sana mabango hayo na fimbo za swahili speakerni kweli aisee naweza sema 90% ya english medium zinazofuata necta hazina kiingereza
tamaduni ya kuongea kiingereza haipo
ndo maana waalimu wanaishia kutumia mbinu lazimishi kama kuchapa swahili speakers ama kuwavalisha mabango ya aibu
Uongo za uswahilini ziko zinafundisha hadi kiarabu ,kifaransa na kingerezaWatanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha english medium,, huu ni upopoma