mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
uzoefu wangu wa kusoma miaka 14 huko90%utafiti wako umeufanya lini?
kwa kiasi chake😅Inaonekana ulivaa sana mabango hayo na fimbo za swahili speaker
Wengi tunafanya hivi ila graduation menu wanatuangusha msosi hauwi wa kibabu, nyinyi wamiliki wa shule kwenye mahafari ya hawa vijana mnatuchangisha pesa nyingi sana ila tukija kwenye upande wa misosi mnatuangusha kwa kweli mpaaka mtu unajutia ile pesa umechanga kwa ajili ya kijana wako, tafadhari msosi uwe wa kibabe kila mahafari yanapofikaNapenda kumuona anapofurahi pale akiwa kwenye school bus.Alikua ananimbia baba mbona mimi siji kuchukuliwa na gari kama wengine?
Imebidi nimuamishe shule kumtoa upweke wa kwenda shule bila gari wala bembea!
Uongoni kweli aisee naweza sema 90% ya english medium zinazofuata necta hazina kiingereza
tamaduni ya kuongea kiingereza haipo
ndo maana waalimu wanaishia kutumia mbinu lazimishi kama kuchapa swahili speakers ama kuwavalisha mabango ya aibu
Maboga yetu mnataka tukayapeleke wapi wakuu si wanapanda magari ya njano rangi ya maboga kwenda na kurudi shida ipo wapi?“Hey You,Not Kukojoa”
Hiyo line hapo juu nimeinukuu siku moja napita pembeni ya shule moja hizo zinazoitwa za kisasa nikamsikia mwalimu akiambia hivyo watoto/mtoto,nadhani kuna dogo alitaka kumwaga kojo sasa teacher ikabidi amuelekeze kwa lugha wanayojaribu kuwafundisha ambayo hata mwenyewe haijui.
Fluency is relative.Uongo
English Medium zote kukuta mtoto hajui kingereza akimaliza msingi sio kweli
Mfano hata kenya kingereza wanasoma Shuleni syllabus ya NECTA mtaani na nyumbani lugha ni kiswahili na lugha za kikabila lakini wanakimudu kingeteza hasa
Acha tuwasomeshee huko huko mkuu hivyo maboga yatanawiri siku moja yatatema yaiFluency is relative.
Wazazi wengi ni gen x, wanajua kiingereza lakini kidogo.
Hawa watoto wanajua kiingereza kuliko wazazi, lakini sio katika kiwango kinachotakiwa.
Hivyo wazazi, wanaona kama watoto wanajua kiingereza.
Lakini viwango ni vibovu nina uhakika graduates wengi wa msingi wakipewa standardized tests za kiingereza mfano IELTS au TOEFL watafeli vibaya mno.
Wala sijasema kwamba EM ni mbaya, hata sijajaribu.Acha tuwasomeshee huko huko mkuu hivyo maboga yatanawiri siku moja yatatema yai
Hapa sasa ndio umeusema ukweli mkuuWala sijasema kwamba EM ni mbaya, hata sijajaribu.
EM ni bora sana kuliko kayumba kama unamudu.
Lakini ni kweli kwamba lugha bado haizingatiwi vilivyo.
EM ni bora lakini bado sio bora kama inavyotakiwa.
Huyu ni muumini mzuri wa shule za kataKwa nini iwe LIKUD? anahusika katika hili.
Hadithi njoo uongo njoo utamu koleaMsipotoshe inasaidia kuna dogo kapata deal la kufanya utafiti nchi 12 za ulaya kwa mwaka mzima huku akilipwa pesa ndefu binafsi namfaham dogo sio smart kivile ila lugha imebeba nikiangalia hawa wengine wapo wengine wapo smart kweli kilichoowaangusha ni lugha ya malikia.
Maana walikuja mabepari wenyewe ndio walikuwa wanafanyisha interview.
Unajua wanachofanya hizo international au jina limekuchanganya.Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha english medium,, huu ni upopoma