Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Nimeona hiki kitu leo nikizungumzie kwa sababu kinaniumiza sana.
Mimi sehemu ninayo ishi kuna mabinti watano wame panga chumba kimoja, hawa mabinti umri wao ni kuanzia miaka 19 mpaka 25.
Kilicho fanya niandike huu ujumbe ni kuwa, hawa mabinti wakiwa wana wasiliana na ndugu zao mkoani wana waambia wana fanya kazi hotelini, Migahawani, Supermarket, sheli n,k, lakini kiuhalisia hawa mabinti hawana kazi yoyote zaidi ya kupeana zamu ya mmoja kati yao ndo analala chumbani ila wengine wote hawalali hapa, mchana ndo wakati mwingine wote wana shinda hapa ila siku zingine wote wana potea.
Hawa mabinti siyo kwamba wana jiuza ile ya kwenda kusimama barabarani, hapana, bali wapo kwenye mahusiano na wanaume tofauti tofauti, leo anaenda kulala kwa huyu kesho kwa yule, maisha yao ndo yako hivyo kila siku, mpaka kuna muda najiuliza hawaingii kwenye siku zao?!
Ambao mna mabinti wana sema wana fanya kazi Dar, jaribuni kuwafuatilia msiwe mna furahia tu kutumiwa pesa ila watu huku wana ishi kwa tabu sana ngozi zao zimechoka japo wana jiremba sana, nyie watu wana tumika mpaka una waonea huruma na mbaya zaidi uki waambia uwape kazi za kueleweka hawataki.