Wazazi mnaowalisha sumu dhidi ya Baba zao, mnajua kuwa baba mzazi ndiye ana kibali cha kumbariki mtoto ili afanikiwe?

Nakazia hapa
 
Acheni basi hizi propaganda za uongo uongo aisee.
Ingekua hivyo sidhani kama kungekua na unasikini nchi hii.
Kila baba angembariki mwanae afanikiwe ..

Yaani mnampa baba cheo cha umungu kabisa.
 
Acheni blablaa za kiseng€ ninyi wazazi uchwara wa Kiafrika , mnashindwa kuwajibika kwa watoto wenu ,wanapowakataa mnaanza kuleta longolongo za kisenge za laana uchwara zisizoexist
Acheni upuuzi na ujinga ,ukaribu kati ya mtoto na mzazi unajengwa na mzazi mwenyewe kwa mtoto tangia akiwa mdogo ,love and affection ndio kinachowashinda ninyi wapuuzi wengi , mpo kama mahayawani ,mnazaa na kutelekeza
Swine kabisa
 
Ni ukweli mchungu,
Baba asiye timiza majukumu yake kwa mtoto bila sababu za msingi kama, kupata ugonjwa utakao mfanya ashindwe kuingiza kipato, ulemavu utakao mfanya ashindwe kutafuta kipato au anguko la kiuchumi la ghafla ,huyo sio tu hafai kuheshimiwa na huyo mtoto ,bali hafai kujiita baba wa mtoto huyo.
Baraka za baba kwa mtoto ni kumtimizia mahitaji yake na sio uharo ulio andikwa na mleta mada.
 
Tuishi humu 👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…