Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapahakuna baba ambaye hamuhudumii mtoto wake, huyo ni mpumbavu na hufai kuwa baba hata wa panya...
duniani hakuna LAANA wala BARAKA,...hizi imani ni za WAPUMBAVU....
acha kukimbia majukumu yako eti kisa wewe ndo mtoa BARAKA za mafanikio,,.....huo UPUUZI ulitungwa na vizee vipumbavu ili kupata kukubalika kwa ushenzi wao wa kuzaa zaa na kuto kulea watoto wao kwenye jamii......
MAFANIKIO HAYAJI KWA IMANI,....yanakuja kwa VITENDO,....
Acheni blablaa za kiseng€ ninyi wazazi uchwara wa Kiafrika , mnashindwa kuwajibika kwa watoto wenu ,wanapowakataa mnaanza kuleta longolongo za kisenge za laana uchwara zisizoexistHata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake .
Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha .
Hakikisha mtoto wako anamjua baba yake mzazi ili akambariki usithubutu kumtenganisha mtoto na baba yake mzazi.
Asante.
Baba asiye timiza majukumu yake kwa mtoto bila sababu za msingi kama, kupata ugonjwa utakao mfanya ashindwe kuingiza kipato, ulemavu utakao mfanya ashindwe kutafuta kipato au anguko la kiuchumi la ghafla ,huyo sio tu hafai kuheshimiwa na huyo mtoto ,bali hafai kujiita baba wa mtoto huyo.Ni ukweli mchungu,
Acha waendelee kubisha .Ni ukweli mchungu,
..hata km libaba ni la hovyo hovyo bado ni li baba hivyo hivyo!Wako sahihi kama li baba lenyewe la hovyo hovyo!
Tuishi humu 👆hakuna baba ambaye hamuhudumii mtoto wake, huyo ni mpumbavu na hufai kuwa baba hata wa panya...